ZINGATIA HAYA MAMBO 3 KWENYE DOCUMENTS UNAZOPELEKA UBALOZINI KUOMBA VISA.✈️✈️@ArrivalTv #USEmbassy

preview_player
Показать описание
jitahidi sana kufanana kiuhalisia na kilichoandikwa kwenye Surpotive documents zako
#greencard
#canadianvisa
#Arrivaltv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bro.unatusanua kinagaubaga kwakweli MUNGU Abariki uwezo wako ukawe pa juu kwa namna unavyotusaidia uelewa ndugu zako, asante sana.

OmariMussa-uhsx
Автор

God bless you sana bro unatupa real life experience

godfreymwanache
Автор

Mm nakupenda sana mwanakwetu ❤❤ napenda manuva unayotupa

janety
Автор

Mungu akubariki kaka umenipa ujasiri mpaka najihisi nishapata viza wengine wanatukatisha tamaa

nailaty
Автор

Asante sana kaka kwa kazi nzuri mungu akufungulie njia ya mafanikio zaidi ya Sasa.

shabirryabdallah
Автор

Hello mwanakwetu nashukuru sana na hii video yako na nimekuelewa vizuri mwanakwetu

HarunaMakarani-dnmf
Автор

Huyu jamaa nitofauti na avyo ongeya anapenda sana pesa kharafu kazi hakufanyiii mimi kaniiliya pesa kharafu hana alicho kifanya

ADAMUZUBERY-skgh
Автор

Kaka Divine nashukuru Sana Kwa NAMNA ambavyo umetufungua kuhusu experience na NAMNA ya kuendana na uhalisia. Nilikuwa naomba utuambie NAMNA gani uli Upgrade kutoka Visitors VISA ukiwa US, kuwa Mkazi wa kudumu na gharama zake. Ahsante Sana

robertmasule
Автор

Naweza kutumia my native language kujieleza Kwa counsalor atakaenihoji

LeticiaClement-sdtg
Автор

Hongera Kwa maelzo yako yakutujylisha ambayo hatuyajui

kombohamad
Автор

Hey mimi mgeni hapa tafadhali zungumzia kuhusu mwaliko wa harusi ni hasa matarajio ya maswali.

davidnjoroge
Автор

Tupe updates za kua truck driver in America na jinsi ya kua own operator

survivortv
Автор

Kaka nimekuelewa vizuri sana brother be blessed

luckysichone
Автор

Asante sana kaka umetumwa kutusaidia kaka barikiwa sana kaka

vitymteysemere
Автор

Uko MKOA Gani ningependa tuinane Kwa msaada zaidi

zainabumohamed
Автор

Kaka salama ninahitaji kwenda marekani ikuwaje taratibu

NsisaniraJean
Автор

Asante sana kaka nakufatilia Kwa makini

mwitakayamedia
Автор

Kazi nzuri bro.Tuko pamoja nitakucheck

lutaburchard
Автор

Endelea Kutoa video za visa basi divine maana ni 🔥

MAISHAYACROATIA
Автор

Kaka tupe update ya kuwa driver truck huko marekani, na gharama ya kununua truck driver

titochawe