Phina - Yumba (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Tanzania's Phina returns with an ultimate party banger titled 'Yumba' to celebrate the joy of having fun and reveling in the moment. With its catchy beats and infectious rhythm, the song paints a vivid picture of a carefree night filled with partying and living life to the fullest. The lyrics convey a sense of liberation and camaraderie among friends as they come together to enjoy the pleasures of drinking and dancing.

#Phina #Yumba #Yumba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Phina unatupeleka mbio sana. Hata hatujamalizana na tititi ushaangusha lingine. Whoever brought phina to the game deserves some recognition

CollinsItobolwa
Автор

My favorite Swahili female artist 💯💯💯… love from Rwanda 🇷🇼 ❤

StanzaMata
Автор

🎉🎉phina 2024 lazima maadui wajue unaishi pamoja na ulimwengu🎉😂

PrinceBlessed-ogtl
Автор

Natamani leo ingekuwa siku ya walevi duniani daah! hii hatari dada phina

josphatjohn
Автор

Daa! Unakunagwa panapo...!!! (CHOCHEA KUNI) ndo nyimbo inayofuata ifanyie kazi kabisa phina

anthonychibilili
Автор

Bora phina hujaendekeza Amapiano…. Bongo Fleva to the top 💥💥

zazisigonda
Автор

Daaah phina nakuona mbali sana Mungu akutunze na akulinde❤

Multpurpose
Автор

Phina ni🔥, , , , Wapenda mitungi wote tujuane hapa leo😂😂

sarapy
Автор

Um Clever Zillion ..Amazing song all the way from Zimbabwe 🇿🇼 Harare 📍📍📍

clevercomsbbanda
Автор

Our melanin Queen flourishing as always ❤❤

BlaqBobby
Автор

Phina upo good sana dada yangu wakukaya gete

NTEMI-OBURUDANI
Автор

Big up phina nakubali sana sana song zako unapangilia vizur mistari

BwemeroFelix
Автор

Jaman ukinyimwa unyumba amua nyumba ndogo, we phina weweeee umepugaje, apo🔥🔥🔥🔥🔥

victoriaedfonss
Автор

Phina aisee haupoi dada yangu weka like zake hapa basiii yumba

OFFICIALSEMAH
Автор

Hello guy naombeni subscribers 5 tu kutoka Kwenu nitashukuru sana

Mrchochote-fi
Автор

we ni fiee dada phina i love you much mwaaaa GOAT of the all time🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

MelodPlatnum
Автор

I love your voice madam, nyimbo zako zote fire 🔥🔥🔥

officialquochezdonshwari
Автор

unatiasha sana phina ausubili mchuzii upper waoh

Vivawakala