Phina Feat Ruby, Number One (Official Video)

preview_player
Показать описание
Number One is Performed by Saraphina X Ruby Afrika
Audio is Produced by Aloneym
Mastering by Mixing killer
Written By: Platform Tz

Available In all Digital Platforms:

SARAPHINA Booking Info:

Connect With Saraphina:

LYRICS

Heh...the melanin queen
Ruby baby baby baby baby

VERSE1:Ruby)
Eti penzi si nguo hasa ya nini tuazimane
Nililishika pindo sina budi kuachia
Kikulacho kinguo
Hasa ya nini tukinzane
Mapenzi magube gube, yakikusibu utaachiaa

(Saraphina)
Unayajua mapenzi ya kidigitali
Ukipenda leo kesho wima chali
Yanatesa vibaya, yanatesa vibaya
Utaugua hata ujikute we ngangari
Ukipenda leo, kesho wima chali,
Yanatesa vibaya, yanatesa vibaya

Bridge:
(Ruby)
Mmhh
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja

(Saraphina)
Mmh..
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)

CHORUS:
(Ruby)
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
We are number moja
We are number moja

(Saraphina)
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
sisi ni number moja
Sisi ni number moja

Aah , aaah...

VERSE 2: (saraphina)
Mmh, mmh...
Tabasamu hata ukose wa kumpenda mkweli
Mapenzi hayanaga siri, najua yatakuumiiza
Tena chonde uje ukonde, utauchosha mwili, mapenzi hayanaga siri, yatakuumiiza

(Ruby)
Moyo wangu kichanga, yani mwake mwake
Mwisho nizeeke kijana, yani niteseke (eeh)
Full mkasusu mwanana, mambo yente yente (eh)
Kama kopa kabana, acha nijimwage (eh, eeeiih unasusaa eeh)

(Saraphina)
We cheza kama unasusa, unasusa,
Unasusa, unasusa, unasusa, unasusa (aaah)

BRIDGE:
Ruby)
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja

(Saraphina)
Mmh.,
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)

CHORUS:
(Ruby)
We are, we are number, (wayo wayo wayo )
we are number (wayo, wayo, wayo hoo, better tell them you're number one)
We are, we are number(we be number one, yelelelele),
We are, we are number, we are number
We are we are number, we are number
We are number moja, we are number moja

(Saraphina)
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)

Chorus:
(Ruby)
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
We are number moja
Sisi ni number moja

(Saraphina)
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
We are number moja
Sisi ni number moja

#Phina #Numberone #saraphina
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daaaah bonge moja la ngoma mmefanya kazi nzuri internetional levels ruby x sarafina .... Mmepita kwenye melody kama za ALIKIBA sijui kama mlifikiria kumshirikisha ingekua poa sana ... But hongera kwa ruby endelea kuwashika mkono wa dogo zako.💥💥💥💥💣💞👏

issa_yusontv
Автор

Ruby is my number 1 female artist in East Africa her voice and vocals Damn🔥🔥🔥🔥

tangaicomrades
Автор

❤❤❤ wow jmn mng awape maisha malefu....mafnd mmekutana

Maria-rzzf
Автор

Ruby kama ruby 🤗🤗🤗💫💘🙌🙌🙌🙌the 👸queen 👑 ♠️ 👸 👑 👸

kekiplusandonly
Автор

Iofficially declare to be fan of these queen, who else gonna join me, much love to Sarah and Ruby, they made it 😘 💕

jaydeboy
Автор

hi nyimbo imekutana na mafundi Ruby na sarafina kitu kizuri xana vocal kali mellody kali tungo kali all in all💥💥💥💥💣💣💣💣

sosydee
Автор

Sauti kali zote mashaAllah 😍 ❤ 💖 💕 ♥ 💗 kweli you're namba moja

kekiplusandonly
Автор

Ila sauti ya ruby inaingia kweny akili adi mwilini ❤️

enalamichael
Автор

Siku zote wanawke wakiungana na kuamua kufanya kitu basi huwa hawakosei hii ni🔥🔥🔥

nurwardazakaria
Автор

imenisikitisha kuona wimbo mkali kama huu umemaliza mawiki ata wiwers milioni1 hauja fikisha yani da wimbo ni mzuri sana tena sana wabongo tu sapotini mziki mzuri bana

kaseratanga
Автор

😊😊😊the voices jameni😘
April 2024❤🇰🇪🇰🇪

Magdalene
Автор

Wimbo kwanza mzuri pili waloimba Wana sauti nzuri na Ruby nakubali kwa sauti na kipaj ulichojaliwa pili namuona salaphna upo Kasi najua mungu at fnya wepes ufke mbali na naipenda style yako ukiwa stage

lessaelias
Автор

Dah kiukweli ukiona anaoambana aisee ni jukumu letu kuendelea kumsupport.Saraphina e keep it up na nakuaminisha kuwa hujakosea kucollaborate na RUBY cause ni danger

ashraff_tz
Автор

If only I could view this repeatedly till it hits 1M today😔…why is that my fellow East Africans can’t support something as excellent 🔥 🔥🔥🔥as this? Excellent Sarah and Ruby🙌

julianampanduji
Автор

Mnaweza yaani vipenzi vyangu Seraphine toka bongo star search nilikuwa shabiki wako my favourite voice Ruby hujawahi kuniangusha
I love you more🥰🥰🥰😘😘😘

vanessarobyn
Автор

Hongera sana Saraphina x Ruby, PERFECT COMBO🍎💕💝

mavinmanagement
Автор

Walioangalia mala mbili mbili kama mimi tag kopa za love ❤️ hapa

shalimwile
Автор

Sauti ya Ruby ni kiboko ya wasanii wote wa number one super female artist in tz. 🔥🔥❤️

rushurikarashid
Автор

Saraphina is the next venessah mdee, finally her gap will be soon filled.much love and blessings from KENYA 🔥🔥🔥

willinjowritter
Автор

Who else is here 6 months later....This song is still a BANGER!!!!

lucykemunto