Phina - TiTiTi (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Enjoy Phina's new hit 'Tititi'. It's all about feeling sad, getting stronger, and discovering who you are.

Follow Phina:

#phina #Tititi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thank you so much my beautiful family for the unconditional support that you give me🥰😮‍💨

Phina_
Автор

I approve this song is on another level.. i love this lady . Always ❤ from kenya kama unampenda phina konga like tukisonga❤❤

eyuvonekoko
Автор

Wakwanza kutoka Kenya Gonga likes za Phina hapa kama unamtambuwa Msanii huyu anayeshare Jina moja Na mamangu mzazi❤❤❤

Rockstardontonny
Автор

huu wimbo unavibe sanaa...unafurahisha kuuangalia, , , mmeutendea haki😍😍

janeymhando
Автор

Phina is the best woman ambaye anafanya vizuri kwenya East Africa 🌍 know kwamba una ma fans Congo 🇨🇩 we love you Phina keep up the good work 👏

jay-bshujaboyofficie
Автор

Prince Phina doing what she's best at. That transition from soft slow tone to soft rapid tone makes the entire song epic combined with awesome beat selection. I'm playing this on repeat mode for the next 2 months🔥🔥🔥

edagewere
Автор

She is the African queen...napenda Sana..nipeni likes ndugu zangu wa Kenya na tz

mrinformer
Автор

Ndio huyu mwenye wimbo anasaidiwa na MUNGU Haa kumbe ni msanii mimi nilijua anasaidiwa na MUNGU kweli kumbe ni mungu huyu rudi kwa MUNGU ANAKUPENDA UVAE NGUO

aderanderwa
Автор

Hatari Mwanadada ambae amekita mizizi Phina❤❤❤❤ Unapedwa Sanaa uku Kwetu 254❤❤❤

taslynekeofficial
Автор

Nakupenda ❤ Phina am from Kenya sauti tamu kweli

oieionk
Автор

Raw Pure Talent .., kenyan Phina funs ..lets show somelove here🥰🥰🥰🥰🥰🥰

sqhfdnc
Автор

Kama unamkubali phina from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tumpe like jameni

erickamboye
Автор

The only musician that gives Zuchu sleepless nights😁😁😁😁😁

donaldomuto
Автор

Je suis franco guinéen, 🇬🇳mais à cause de Elle je comprends swahili maintenant un peu.❤

ZhjxhxHxjxjd
Автор

❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Toto si Toto unatesa love for Phina is unconditionale
Njoo Kenya soon

michaelkiplagat
Автор

wasafi sign this ladythis is pure talent and much love from 254 ❤diamond achana na sukari, chapati

esmeobi
Автор

Lovin' the way she's growing in the industry ❤

Sawen-fpso
Автор

For real this woman ni fire 🔥, , much love from kenya, ,kaa unajua unatoka east Africa gonga like bana, ,alafu mnadhani uyu dem anaeeza kua dem wangu kweli 😢namtaka

stevengibore-thvn
Автор

Tangu enzi za bongo star search huo moto hakuna atakaye jaribu kuuzima kisha ndio wazidi kila kukicha. Huna mpinzani e.a

CollinsItobolwa
Автор

Phina ❤❤❤❤❤👌👌👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖 wakenya wako wapi ?? Nipe likes hapa❤

isaacmaomba