Phina - Wawili Official Lyrics Video

preview_player
Показать описание
Stream Wawili by Phina

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hey guys, thank you for all the love and support that you show me! 🥰

Phina_
Автор

Kenyans 🇰🇪 show some love for the queen herself .., another hits 🔥💥💯

hadassahhunja
Автор

Dear person that's reading this, we don't know each other but I wish you all the best in life

kceztlgkone
Автор

Yaani wabongo wanajifanya hawajui uwezo wa phina, ameng'ang'ana musifia yule mdada anayejificha kwenye ukubwa wa label tu. Nasema hivi ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Phina ana uwezo mkubwa sana

rashidmwaungo
Автор

Niliwambia huyu kiumbe ni vile tu kazaliwa bongo lkn si mwenzetu kbs QUEEN

saskiabernard
Автор

As a Kenyan artist, I think you're my favorite Tanzanian female artist. More love❤💯, nothing but love❤🎶

RiderCylle
Автор

Yaani nyimbo imeandikwa Ikaandikikaa mpaka raaha phina she is best Artist

johnshimuda
Автор

Ebwana wewe mambo n 🔥🔥🔥🔥
Ngoja like hapa hata tano😂

mgulambwacharles
Автор

Melanin queen never disappoints much love from Kenya 🥰

yaticheric
Автор

A woman of vision does not stop dreaming, because she knows she has a mission to accomplish. A woman of vision enables great things to happen, by pursuing the right things. A woman of vision knows where she has been, and has a better understanding of where she is going.

benmmteule
Автор

Unajua sana kuimba phina nakuskiza kila goma lako naona utofauti, melody kali, mashairi mazuri na ubunifu mkubwa, usiwe kama waimba chapati😂, baada ya Tyla unafuata wewe kuipata ile tuzo ❤❤❤

amanibrown-jxsq
Автор

The real defination of good music. From the beat, the lyrics, the vocals and even the arrangement, everything is perfect. the best female artist in east africa at the moment

sunnybeemelodyofficial
Автор

My dear ❤ phina never disappoints ☑️💯☑️☑️💯 i think am not too late 🎉 nipeni likes 20 tukisonga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

AROMAA-KING_KENYA
Автор

Phinna I listened to Sisi ni wale while my heart is in Palestine and listened to penzi la wawili, still my heart did not give up on loving Palestine, I like your emotional musical feel.🎉

franklinemakokha
Автор

Honestly, this girl got real talent . I just love her music

mercyoiti
Автор

Ni mda wa kukubali huyu dada amekomaa kwenye game na tumpe maua yake. She is the Queen now, and she needs appreciation. Apige show Kenya tumpe support ya kutosha.

danielbingwa
Автор

Melanin Queen 👑 never dissapoint since I got to know her and started following her. Where's likes and love for the Queen♥️

Mackey_PEntertainment
Автор

Napenda huyu dada toka Tz sana. Phina you're good. Karibu Kenya

sydneyngeno
Автор

Makini sana phina bonge la kazii... Ni la wawili tu Wa tatu wa nin..

MusaMigo-xh
Автор

Phina haukutakiwa uzaliwe hapa bongo ila mungu amekujalia piga kaz usisikilize maneno ya watu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda xana mung aibarik kaz yako

Sureboy-iokg