Phina - We Huogopi (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание

The song "WE HUOGOPI" is a powerful anthem celebrating resilience and divine protection in the face of adversity. Sung in Swahili, it begins with a heartfelt acknowledgment of personal struggles and societal injustices. The narrator reflects on their modest circumstances, living in a rented home and facing the threat of harm from others. Despite these challenges, there is a steadfast belief in God's providence and a determination to overcome any obstacles. The chorus emphasizes a fearless attitude, proclaiming protection under the guidance of "Sir God" and asserting confidence in facing arrows of adversity. The song exudes a spirit of defiance against fear, embracing a joyful defiance against the uncertainties of life.

#Phina #WeHuogopi #Gospel
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huuu wimbo mzuri sana nampenda sana phina🥰🥰🥰

JescaJeremia
Автор

Hii ngoma kali sana hasa kwa wale tusiopenda majungu phina unajua🎉🎉🎉

KondeGang-bcrh
Автор

kila nkikusikiliz wew dada napata kuelew kil kitu kinawezekana ani vanessa huyu apa kbx...wew dada unajua sana😍🥰😇

chonverymachenge
Автор

Nmeenda na huu wimbo AMANA BANK, nkapewa mkopo 🎉🎉🎉

essaugeorge
Автор

Hii ngoma kali sana pongez dada phina una stahili umeuwaa🎉🎉🎉

dayana-jsep
Автор

Phina kama Phina we love you ndio umekuwa Dem best East Africa Mob love ❤❤❤❤

taslynekeofficial
Автор

Wapi those Kenyan 🇰🇪 wenyewe hawaogopi fighting for our right ✊✊

chriskenyaepic
Автор

Phina kipaji anacho anakwambia kwanza we huogopi na wew kama hàugop piga like hap❤❤❤❤

StalonTeo-jbtd
Автор

Wapenzi wa phina, wapenzi wa mziki mzuri east Africa na Africa yote. Likes ❤ zihusuke 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

HamisiChipotele-flxo
Автор

Kazi nzuri.... 👏👏☺️nakutambua @PHINA from Kenya 🇰🇪😊

phanicemo
Автор

Kama nawew huogopi kuomba likes kama mimi gonga like nikujue 😂😂

mrsinia
Автор

Shabiki wa Phina From Rwanda with much love ❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤️

StanzaMata
Автор

Nakupendaga sana we kadada hunaga nyimbo mbaya

husseinbakary
Автор

Huyu ndio mrith wa ruby nawala sio nandy wala mausama hebu sikilizeni hii voice and toner

SuphianiAthumani-os
Автор

Kamo kamo.. Haya kapewe LIKESSSS kaPHINA ketu!!❤❤❤😂

AbdulySaleh
Автор

Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤❤❤

SepamaybeMsafii
Автор

🎉🎉fire we Huogopi nalindwa na sir God tuuu🤛🤛🤛👌🙏🙏🙏

majanibuguducomedian
Автор

dah unanifurahisha sana binti yangu I love you fina

MATHAYOMANYEMA
Автор

Wapi likes za phina🎉🎉wangapi tunampenda phina❤❤❤

AROMAA-KING_KENYA
Автор

Siku hazifananiii..Kesho yangu yajaa🎉🎉

DenisChuwa-pi