Phina - We Huogopi (Official Music Video)

preview_player
Показать описание

The song "WE HUOGOPI" is a powerful anthem celebrating resilience and divine protection in the face of adversity. Sung in Swahili, it begins with a heartfelt acknowledgment of personal struggles and societal injustices. The narrator reflects on their modest circumstances, living in a rented home and facing the threat of harm from others. Despite these challenges, there is a steadfast belief in God's providence and a determination to overcome any obstacles. The chorus emphasizes a fearless attitude, proclaiming protection under the guidance of "Sir God" and asserting confidence in facing arrows of adversity. The song exudes a spirit of defiance against fear, embracing a joyful defiance against the uncertainties of life.

#Phina #WeHuogopi #Gospel
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Usimfananishe phina na zuchu ivi weee uogopi nyimbo inaujumbe kama unamkubali phina gonga like ap

ZAWADIJUMA-hz
Автор

Video Kali nyimbo nzuri team WCB like hapa 👇

EmmanuelelikanaSon
Автор

Huyu dada ana imba nyimbo zina make sense sana...i am your number one fan. Nyimbo ina maadili, ina cha kujifunza ina kila kitu...Good VIdeo Phina

salomemunishi
Автор

Hello all Kenyans tunalindwa na sir God 🙏 let me left a comment here when this song is 7.4k likes coz i know after few weeks it wl be more than 1m likes❤❤ if you agree with me pita na like🔥🔥♥️

NjorogeJacinta
Автор

Kama unakubali Phina gonga like hapa❤❤

Johnas-eddq
Автор

Mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩 naomba liké zangu plz 🙏🙏🇨🇩

KingRemy-vdrn
Автор

We huogopi ❤💥 🔥more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

sandyravin
Автор

Huyu phina ni moto wa kuotea mbali, toka wimbo wa kwanza mpaka Leo hajawai kufeli🔥🔥🔥🔥

joshuamahena
Автор

Siku azifanani keshoyangu niyaajabu I still believe 😢🙏

issachibangu
Автор

Like zangu kwa kipenzi cha moyo wangu phina ❤❤❤❤❤❤toka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮phina hits song

hzbkbne
Автор

Nairobary we salute you phina👮wee tu ndio unaeza simamisha maandamano ya Gen z's Kenya, unalidwa na sir God, kwani wewe huogopi💞

jairuskipchumba
Автор

Huu wimbo wanifariji sana mungu ananilinda sana🙏🙏

gdymbvx
Автор

Mashallah ❤❤❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪

juvenalyjamal
Автор

Phina ❤ God bless you i'm Burundian

EmileNibizi
Автор

Tuko nyumayako phina, unafanya kazi vizuri, hiimwaka niyako

shimigtheodor
Автор

Phiña is really conected to God i can say ❤Amen

GideonKarume
Автор

Kazi ndzuri sana 🎉🎉#phina and MAJAGI🎉kesho yetu yaaja tunaamini

ChingaKenboy-fzyr
Автор

Love my phina jamani yani amna wimbo ambao sjawah ukataa kila wimbo mzur❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

ZassZass-cb