MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 20/08/2024

preview_player
Показать описание
Tazama kipindi cha Mshikemshike mkikiwa na habari mbalimbali za Michezo ikiwemo ufafanuzi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuhusu changamoto za usajili kwa baadhi ya klabu nchini.

Ally Kamwe awatumia ujumbe mashabiki wa Yanga
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Na ndio maana wakaipangia kuanza na simba ili ajipigie kwa sababu hawakuwa na mchezaji yoyote kutoka nje ya nchi ktk kikosi alichoanza nacho dhidi ya simba

SaidAlly-uhqw
Автор

Hatushangai biashara asbh ila tutaona km kweli kiwango au tim walio kutana nayo tutajua huko mbele km simba imara😀😀😀😀

Faridagongo
Автор

Kwani vilabu havijui kanuni Kuna uwezekano viongozi wa vilabu wanaruka kwenda BMT kwasababu tff wanaubabaishi

abdallahomary