Mtangazaji wa Azam TV Ivona Kamuntu ajifungua mtoto wa kike

preview_player
Показать описание
Mtangazaji mahiri wa habari wa Azam TV, Ivona Kamuntu amejaaliwa kuongeza ukubwa wa familia yake, yeye pamoja na mumewe Raymond Nyamwihula ambaye pia ni mtangazaji wa Azam TV. Mtazame
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

MUONEKANO WA TV HAPO UWANJANI SI MZURI, bwana MITAMBO AREKEBISHE BASI ILI TUONE VIZURI MCHEZO WA SASA

daudikiula-xq
Автор

hongera mama ngu ivona nakupenda umekata kiu ya watazamaji wengi walikuwa wanajiuliza uko wapi allah akukuzie makuzi mema inshaala

salamaswalehe
Автор

Hongera sana ndomana nilikua ckuon...polee.

saluagoha
Автор

God bless you, nimekata kiu ya kumiss sauti yako hongera kwa kutuletea uncle kila la kheri kumuhudumia uncle.

amenyekibona
Автор

Huyu dada anatangaza vizuri Sana. Kweli anasauti ya utangazaji.

gibsonjosephat
Автор

Huyu jamaa kafanya vibaya huwa namuwaza huyu dada, Ila sikati tamaa🙏🙏

amanibwire
Автор

Congratulation to u my Dada ivona, love u Dada

jamesntobo
Автор

jaman nani huyo alieniwai kwake nilishapnga kumwendea

mnzavachris