Kutana na Askari mwenye Mbwembwe balaa Barabarani akiwa kazini, Ni vituko Mwanzo Mwisho, Utampenda!

preview_player
Показать описание
#sirizabongo
Kutana na Askari mwenye Mbwembwe balaa Barabarani akiwa kazini, Ni vituko Mwanzo Mwisho, Utampenda! Askari huyu mara nyingi anakuepo maeneo ya Mbezi shule, Mwenge
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Namkubali sana huyu jamaa, hata ukiwa na hasira ukimwona tu zinapotea.kama matraffic wengine wangekuwa hivi, tanzania tungekua mbali sana, mungu ampe maisha marefu.

robertmwakimi
Автор

Na wengine waige kazi nzuri ya huyu afande Nampa big. Up

JumanneKapinga-mkzm
Автор

Hakika askari wetu huyu anastahili kuwa mfano wakuigwa, Mungu amjalie maisha marefu na afya njema

iqquoth
Автор

Huyu jamaa yuk pw San mwenyew nimemshuhudia kabisa mbezi shule pale👍👍👍

aminabkr
Автор

Mungu ambariki sana kwa kazi yake ikibidi aongezewe mshahara. Allah amlinde inshallah!!!

saleheselemani
Автор

Yupo vizuri ukipenda KAZI yako hakuna uchungu moyoni ...Mungu amlinde baraka Tele kutoka kenya

convenantTV
Автор

I visited dar es salaam...around goba..I saw thus guy...I laughed the whole day but was happy that he was happy enjoying his work....

delphinamakupa
Автор

love from Kenya. Beautiful. Sijastaajabu kuona haya kutoka Bongoland. Creativity yenu ni ya hali ya juu, nd'o maana tunawapenda

magdalenemuchoki
Автор

Yaan hata mda wa Kuwaza rushwa hana hata kidgo yaan nampenda sana na alivyokijana anapendeza sana na Mungu kampa mwili mwepesi furahia tu kazi yako kijana ❤❤❤❤

neemaally
Автор

Goba umeihama brother foren zipo Kama zote lakin so mbaya ni kazi nzuri Sana 🙋

MelicianaYoram-rgcl
Автор

Hana muda ata wa rushwa ndomana Hana tumbo KUBWA big up broo

elbaricktv
Автор

Damu ya Yesu imfunike nimempenda kwakwel, Mungu amuongezee nguvu daima

tumainilukumay
Автор

Ma sha Allah Tabarakaala, jamaa yupo fit sana na anaimudu kazi yake, na pia ana enjoy sana tena sama

girremahamed
Автор

MUNGU Abariki kazi ya mikono yako mahana unaipenda nimejifunza kit kwak chanzo cha kupoteza uchovu n kupenda Nazi yako God bless you

sebastianrespickius
Автор

Kazi nzuri kheri kubwa ikufikie askar wangu aaaammin

ahmadalli
Автор

Jamaa yupo vizuri, namkubali kwa sanna. Mungu ampe afya na kila la heri katika kazi yake na maisha yake kwa jumla.

rashadymuhamad
Автор

Napenda Askari Wote Wange kuwa kama Huyu! Maana pia anaondoa pia hata stress za madereva.Hongera Zake Kipenzi cha Madreva.Mungu Amwongezee Umri na Afya njema.

josephmsanga
Автор

Kiukwer huyo asikari Yuko vizur sana by kassim adam

HappyHockey-dcju
Автор

Bonge la Traffic police officer. Safi sana. Good job, keep it up.

robertbutahe
Автор

Huyu mtu mungu ampe maisha marefu katika kazi yake

dannypeter