Magoli | Yanga SC 2-1 Simba SC | NBC Premier League 20/04/2024

preview_player
Показать описание
KARIAKOO DERBY: Yanga SC imeendeleza ubabe kwa kuichapa Simba mabao 2-1 kwa mara ya pili msimu huu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38.

Haya hapa magoli.......
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tangu nianze kushabikia mpira hii ndo penat yakwanza ambayo ata wapinzani wameikubali 😂😂😂😂😂 awajaleta utata wa aina yeyote ile😅

huokfjh
Автор

Kama unairudia hii mechi LIKE 10 ILI TUJUANE 😂😂😂😂😂

Shadia
Автор

hiyo assist ya bao ya pili ni moto Sana.. nani ametoa hiyo pasi👌🏻💥💯Alafu hiyo control aliyecontrol na bao lakiufundi

Ali-gkmv
Автор

Mbn goli lao kama wameachiwa😂😂mtazame diara aliacha goli liingie

ManaseBilago
Автор

I think Stephan Aziz ki is de MVP (most valuable player) na Pia ndio Kiungo Bora na mfunga Bora...
Kuchukua mauwa yako mwamba wa wagadugu ki magician Stephan Aziz 🎉

pacomezouzoua
Автор

Simba nguvu moja. Hii NI yetu na tumeipenda weyewe

josephvenus
Автор

The commentary is well run by a Good football commentator

kpyoxgh
Автор

Wamba wawili Kwa umoja ✅✅baraka ramsi adel mpenja Jr na kilwa finest Gharibu Mohamed ally mzinga wanakuwa watangazaji wa Kwanza kusherehesha Big derby day piga farbat ndani ya NBC premier league

EmmanuelKishiwa
Автор

Hongereni wanasimba Leo ndo mmecheza mpira ila huko nyuma mlikua mnacheza singeli

IsayaKisyeri
Автор

Mwenyezi mungu mwingi wa rehema katujalia viongozi na wachezaji wanao msikiluza kocha na kuipambania team yetu wametufuta machozi ya kuzurumiwa Gori na masanda Wana ❤❤❤❤❤❤

MuhozyaTMwangwa
Автор

Yanga wachezaji wakiacha ubinafsi watakuwa wanafunga magoli mengi sana

henrynyanswi
Автор

Hii yanga hiii apana kwakweli iko no pacome no ploblem

huokfjh
Автор

Simba cette saison est en dessous de YANGA SC

Cette saison est celle de YANGA....dommage que MAMELODIE et le président corrompu de la CAF lui ont volé ça demi-final en ligue des champions de la Caf

sendo
Автор

Hiyo first touch ya Freddy mimi hoi 😭😭😭😁

mahamoudmkunga
Автор

Hii simba ni timu au kikundi cha wahuni 😂😂😂😂

LightMeck
Автор

Tumewapiga bao ili wakashabikie Ubuntu botho yao

jerrysonjulius
Автор

Mwamnyeto amechoka sana, tunapaswa kutafuta beki wa kati mwingine.

joelzacha
Автор

Azizi k sikudai chochote my dear brother

happyvalence
Автор

Hatar Sana Simba tusiwe na hasila tukutane msimu ujao

Moo-dlro
Автор

Simba wana mda wa kufanya usajili maana wametolewa mashindano yote mapema waanze usajili labda wagombanie muungano Cup Kule zanzibar

ibrahimnganyule