MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 20/07/2023

preview_player
Показать описание
Tazama kipindi cha Mshikemshike Viwanjani kikiwa na habari kemkem ikiwemo Uzinduzi wa jezi mpya za Azam FC zitakazotumika msimu wa 2023/24.

Kikosi cha Simba SC chakutana na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mashabiki wa Yanga watamba na kikosi chao.
Рекомендации по теме