UNYAGO 《 EP 01》

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

NDUGU ZANGU SAMAHANI SANA KWA KUWA DISAPPOINTED ILA HII NI NZURI SANA NA IME TIMIA KILA IDALA MGENI WA KIJIJI ITAEMDELEA WASHIRIKI WALI PATA MATATIZO NAOMBA MNISAPOTI HUMU TUPO PAMOJA

boncenagottalent
Автор

Mko vizuri, filamu nzuri. Kenya Watching, twapenda

STANLEYKINYILI
Автор

Kamweee sitaacha kukufuatilia nakukubali sana mwamba

laizerboy
Автор

Much ❤❤❤ from Kenya namkubali sna Ruta man big up bro mungu akubariki n akuzidiashie maono yako

SaidMohamed-dk
Автор

Waoooh nmefurahi kumuona mganga wa kijiji 🔥🔥🔥

ryangerald
Автор

Mgeni wa Kijiji haikuisha tena mmeanza ingine but ni sawa tu

sarahkararinyakinyua
Автор

Naitwa Bailangy man nawasalimia nyote man🙏🙏🙏🙏

BailangyKaihogo-qmep
Автор

Gys huyo anaye fanya beee kama anabeua yani anaboa bhbaaa anaudhiiii badilishen ubunifu

queen_zashi
Автор

Kaz nzur sana vip kuhusu mgeni wa Kijiji

yusuphmatibula
Автор

Mimi murundi nawapenda watanzania boncena juu sana unyago kali sana iyo nyimbo yitupe yote❤❤

naomiehakizimana
Автор

Tupe vitu bwana mgeni w Kijiji.Umepatia sana kumpa Baisa kipande k cha kuwa mganga kwa Mara nyingine tena 🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮

adidjaVyumvuhore-tptc
Автор

Much love from Kenya 🇰🇪 kazi Safi sana

evansmutuma-jocx
Автор

Luta man I say umeweza hii immeenda ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 afu hiyo nyimbo atari

fatmajilo
Автор

Unyama mwingi hapo umeuwa kabisa 🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪

agasobanuye
Автор

Huna Kaz mbovu Kaka pamoja Sana Kaka tupo nyuma yako

rajabuhamzambagonyonge
Автор

Much love from cap town we love ❤ 😍 you all ep 2 please 🙏

sinigiriraabdoulkarim
Автор

Kazi nzur man unajua man pamban man nakukubali san askar wang man

Rmd
Автор

Hiii ni moto tena moto wa moto nimekubali Sana 😢😢😢❤❤❤❤❤

Jaydannychawaboy.
Автор

Wakwanza kutoka Congo naombeni links zangu, ila boncena umetukosea tunapenda mgeni wa kijiji jamani

Idrisakasimu-sl
Автор

Weeeeh ino kali luta, , plz muiendelezee utamu ivi ivi salute🎉ajjab❤

shahrayn