INAUMA JAPHET WA ZABRON SINGERS AWALIZA WAOMBOLEZAJI WIMBO HUU WA HUZUNI 'UNAMPANGO NA MIMI' MARCO

preview_player
Показать описание
Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!

We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!

#entertainment #news #music #funny
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pole kwa jang hiro la kumpeza mpendwa wenu Mngu awatie nguv

ChachaSamwel-qckc
Автор

Poleni sana japhet wa. Zablon singers na kikundi chose pamoja na familia. Na mke. Wa marehemu marko mungu. Awape faraja za ajabu awakumbatie kipindi hiki kigumu mnoo

SharletPendo
Автор

Poleni Sana mke Wa Marco na Familia yote. Poleni snaaa wa Tanzania tunajua maumivu mnayopitia... Ila yuko Mungu pekeee atakayewaondolea maumivu mliyo nayo.. Daaa Ni pigo kubwa sna polen snaaaa... Marco.... Kwa huduma yako umeacha alama kubwa snaa duniani...naamini uko SEHEMU salama kwa Baba wa Mbinguni ukiimba na kusifu🙏😭😭😭😭😭😭😭

BeatriceKitembe-gssi
Автор

Poleni sana ndguzangu ni ngumu sana kupokea na kuamini lakini Mungu atawatumia Malaika wake wakawe wafariji wenu wakuu. Mungu wa Mbinguni awatangulie japo inaumiza sana

kelvinjohn
Автор

Jamani hadi nimejikuta nalia, , , inauma jamani jamani inauma

edwinsilas
Автор

Poleni san Mwenyezii Mungu awatie nguvu 😢 kwani sio jambo rahisi.Mwenyezi Mungu naileta Familia hiii mikononii mwako Bwana uwaguse .Kwan Kila mwanadamu ataonja umauti Kila mmoja yupo katik safarii hiyo ila yeye kak Marco ametutangulia kikubwa ni kumwomba huyu Muumbaa aliyetuumba yeye ndo anaejua

VeronicaSeraphine
Автор

Poreni wapenda wetu tuko nanyinyi ningumu kupokeya irijambo ngumu sana ira mungu atawawezesha nihuzuni nawapenda 😭😭😭😭😭

JzjQj
Автор

Marco umejua kutuliza nenda kapumzike kwa Amani 😢😢😢

rehemafeysali
Автор

Aisee ndugu yangu huu wimbo huu umeniliza sana

kelvinjohn
Автор

Mungu akupe moyo wa ujasiri kaka yangu inauma

NiyubuntuAisha
Автор

Jana ndo niliamini Marco Mungi ameamua aupumzike nilikuwa sijaamini.

kwizeraelly