NAKUTUMA WIMBO by ZABRON SINGERS (SMS SIKIZA 5355023 TO 811)

preview_player
Показать описание
Song : Nakutuma Wimbo
Artists : Zabron Singers
Songwriter: Japhet Zabron
Audio : Crix
Video Dr : Crix
Company : New Era Films (NEF)

Choir Contact:

Zabron Singers,
Po Box 56,
Kahama, Shinyanga,
Tanzania.

Mob.+255764333205
.........+255765778378

Message:
The song can be the best way to be used taking God's message to the entire world.

Through songs we can preach anywhere,anytime,but also any one can listen to Gospel Music regarding our classes and positions.

Stay blessed.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Who is here again after the sudden news of our brother marco to just listen to him again❤❤ Rest in peace

filaminenjeri
Автор

I'm leaving this comment here so that every time a person likes it, I will listen to the song over and over

laureenajiambo
Автор

Haki Marko huu haukuwa mpango wa hii familia ya zabron.. hawakupanga uuwache hivi😢😢😢. Nenda salama mtumishi wa Mungu😭😭😭😭

brenderaluoch
Автор

Wenye tuko hapa 2024 weka likes tukisonga❤❤❤

Sonny-oz
Автор

The last girl i swear❤❤❤, anafaa aanzishe wimbo maana sauti yake inapendeza ajàbu. Tena ni mrembo sana yule Malkia

ziporahwanjira
Автор

Kama una urudi rudia huu wimbo kama mimi gonga like alafu rudia pale kwenye mashairi ya yule dada alie vaa gauni jekundi napenda sana seem ile🙏🙏🙏

fundibombatanzania
Автор

Hii wimbo imenibariki, wapi likes za wakenya?gonga like ukipita🔥🔥🔥🔥

teresiakalili
Автор

Nimekimbia huku ku confirm sauti ya Marko.Rest in peace brother 😢😢😢

nambu
Автор

Who's still listening to this sweet song in 2024❤

Chosenjoy-heml
Автор

Kenyans in the wall show your love to the Zabron's❤️❤️❤️❤️

estherchelangat
Автор

2023 still the song hits on another level, who is here with me team kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

judymoraamachongo
Автор

Wimbo uliobora zaidi. Nasikiza nikiwa Nairobi Kenya. Wakenya rusheni likes

derrickkaniri
Автор

Wooow kama umeikubali nyimbo hiii gonga like ...be ever blessed zabron singers....

joycebetuely
Автор

Natuma pole zangu kwa msiba uliowakumba. Zabron Singers Mungu azitulize nyoyo zenu. kwa familia ya Marco Joseph, (mke na watoto pamoja na jamii pana) Mungu awafariji na alijaze pengo alilowacha mpendwa wenu. Tunampenda Marco hata katika mauti yake, ataishi kukumbukwa nasi na pia nyimbo hizi zitadumisha kumbukumbu zake

GodThePotterMEDIA
Автор

I am a Kenyan in Toronto Canada huu wimbo umenifikia na baraka Tele nyi wote mbarikiwe Asante zabron singers tuwape 10k likes

langatronald
Автор

Kama wapo wanaosikiliza huu wimbo kama Mimi 2023 tujuane Kwa like❤️❤️❤️❤️❤️

howto
Автор

Aki your songs are so sweet pia mm naomba nijiunge na nyinyi

JoyceAtieno-ec
Автор

FROM TANZANIA AGAIN WHO IS WATCHING ZABRON SINGERS 💜❤ Like

Segerethom
Автор

Anyone here September? Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ✋✋

AnnettewilliamsKenya
Автор

Umeondoka duniani lakini bado unaishi Marco maana bado sauti yako haitapotea duniani bila kugusa mioyo ya wanadamu na wataendelea kumgeukia Mungu wetu aliye hai.

eptz