IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)

preview_player
Показать описание
Wimbo huu maalumu uliandaliwa na kuimbwa siku ya msiba baada ya kifo cha mwanakwaya mwenzetu Ndugu Marco Joseph Bukuru ambae alikuwa ni Mwenyekiti,mwimbishaji na Mwalimu msaidizi kwenye Zabron Singers.

Kwa mavumbi tuliumbwa,mavumbini tutarudi. Mwanzo 3:19
#msiba #zabronsingers #imeniumasana
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wapi likes za wakenya tunaopenda zabron singers😢
God Bless everyone for supporting this amazing choir... And for 3.2k + likes Thanks

Fredmwangitv
Автор

Tribe KENYA weka button pole ndugu zetu kutoka Tanzania 😢

DeitripSafaris
Автор

Wakenya mko wap maana Marco alikua anatupenda San sisi wakenya ju ata mwisho wake alikua apa Kenya😭😭😭😭😭nipe like zako

MaureenOnyango-px
Автор

I’m a Nigerian 🇳🇬 and I just came across this song. The melody is sooo beautiful, Swahili is such a lovely language.The melody just got me thinking and reflecting about life.🥹🕊️

winifredonuegbu
Автор

Kama unapenda nyimbo za zabron singers let's gather here as Kenyans

CynthiaCynthia-ez
Автор

Leaving this comment so whenever someone from Kenya likes, I come back to watch this piece

vinnnduri
Автор

Wakenya wenye tunaandamana na Hawa marafiki zetu TikTok, Facebook and here YouTube let's gather here na wenye wame watch mara zaidi ya moja weka like✌️👋

joelnjuguna
Автор

kama unapenda nyimbo za zabrons singers lets gather here KENYA

rosecherono-wq
Автор

Kenya 🇰🇪 Wanaupendo wa kweli na jirani zao Mungu awatunze Wakenya🙏

MariaWema
Автор

Am among Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 who are sending word of condolences... poleni Sana

croxzfireGideonsirma
Автор

Wakenya wanaopenda Zabron singers mko wapi. Naomba likes

AskMikeTv.
Автор

I've come here after losing my lovely Mom 🤱❤ 15/10/2024 was bad day ever to me😭...R.I.P MY MOM❤

alleyjuniourtz
Автор

Kama fan wa zabron singers from kenya, niliumia sana bt kwa yote mungu ako na sababu, thou kuna sauti inamiss 😢,

PuritynyakioKiranga
Автор

Kutoka Kenya tunaendelea kusema poleni Sana

peterwaweru
Автор

Much love from kenya❤❤❤ msife moyo...😢😢😢😢pita na like

ChristineMuai
Автор

Aliye urudia wimbo huu zaidi ya mara moja gonga like tukiwafariji zabron singer

DoctorKipingu-jbcp
Автор

Mungu wape nguvu wana zabron singers from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪ukumbuke familia ya Marco kwa maana wewe ndio Mme wa wajane na baba wa yatima.

ruthmutiso
Автор

As a Kenyan poleni sana ❤️❤️❤️❤️ nliumia pia sana 😢😢😢enda salama.poleni saluti ya Marco ina miss apo.kenya pita na like

tabsnjeri
Автор

Naomba na Mimi mtu anishike mkono, nateseka sana huku saudia na watoto wangu nyumbani..Mungu naomba msaada pia😢😢

MaryWanjunji
Автор

Nawaombeeni muwe imara hata baada ya pigo hili kali ...kweli kifo hakizoeleki....Amani ya Kristo iwatawale daima.Shabiki yenu toka KENYA

PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya