Imenigharimu by zabron singers

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama si Mungu who else?. Be blessed brethren

christislord
Автор

Nipewe likes PLEASE as Total Orphan it keeps me moving by listening to them from KENYa??NIPEWE LIKES KINDLY

dennisoiro
Автор

My all time group, ombi moja tu mje Kenya muanzishe kundi nyingine, ningependa kuimba nanyi, kweli ni mungu mwenye nguvu, familia yangu wapenda nyimbo zenu hasa, nakutuma wimbo, that's my three year old son favourite, he can sing it all,

agnesmwikali
Автор

Hakika ni mkono wa Mungu umetufikisha hapa, huu wimbo hunibariki sana, nanyi wana wa Zabron mbarikiwe sana...., na mzidishiwe neema ya uimbaji🙏❤️

asmrtrisha
Автор

yesu raha imenigharimu sana kwenye njia nying jmn

sarahmaganga
Автор

No make ups, no bobbed/braided hairs, no tattoos, no cuttings (hearings etc) godly dressed.May God bless your hearts richly saints.From Kenya.shallom shallom.

jtvchannel
Автор

Arrived at the hospital some hours ago with my son, who was very sick .i was so scared and after some hours my son is improving and responding so well to the medication. Am listening to this song at Uhai Neema hospital.
Edit;2 years down the road my son is turning 3 in September.He has never been seriously sick apart from the normal cold that we treat at home with lemon, ginger garlic and honey.Jesus healed my son and restored health .All glory to You my King .And to everyone going through a difficult season trust In God He will take you through and you will live to testify.

fridamuthoni
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi ? Pita na like ukisonga

stanowakigoocooriginal
Автор

Poleni 😭😭jirani wetu kwa kumpoteza mwenzenu, kifo kitashindwa siku moja kwa jina la Yesu 🙏

selynakambili
Автор

Nahisi uchungu kumpoteza ndugu Marco .Mungu amlaze palipo Na amani

__
Автор

Yani zabroni huwa sijuiti kumaliza mb zangu kwa nyimbo zako huwa zinanisisimua sana sijawahi ona nyimbo mbaya kwa mungu akulinde sana kwa utunzi mzr ❤❤❤

sophiakasana
Автор

Amen Amen kweli Mungu ni Mungu tu milele amenivusha amenisongeza amenitetea aki Nata2maadui wajipange kivyovyote wajue tu Mungu ni nani jamani Mungu si mwanadamu🙌🙏

annanasimiyu
Автор

Hakika ni Mungu. Je kama si Mungu ni nani? Amen

Wimbo ulio bora sana

aswanicharles
Автор

😢😢😢😢 oooh no l can't stop crying marco huu wimbo vile nilisikiza aki kwl niliwafollow na vile huu wimbo ndo tulimachi harusi ya rafiki yngu huu wimbo aki kwl Marco 💔🥲 ni uchungu sana kukupoteza pumuzika Kwa amani l wishe one day l can meet you zabron live Marco alifanya nikapenda gospel Sana vile hua anaimba tu pia nikatamani kuimba pia mm rest easy 😢😢😢😢 Marco you did a great job indeed 😢😢 l feel so bad We loved you but God loved you more go well legend dance with angels 😢till we meet again 😢😢😢 my condolences to the family and zabron singers SHIROH from kenya😢😢😢😢😢😢💔💔💔💔💔💔

ShirohShazzy
Автор

much love from your brothers and sisters from inka tv kenya

INKATVONLINE
Автор

Great song more likes from nakuru Kenya love u all zabrons

JohnMaina-gcpb
Автор

Namshukuru Mungu kuwa wa kwanza kuuona wimbo huu kwenye akaunti yenu.

Nimeupenda. Mungu ametuvusha milima na mahonde mengi kufikia hapa tulipo.

Kama si Mungu ni nani?

yohanalulyeho
Автор

Wadhani Mungu ni nani!? Have it all zabrons👏🏾👏🏾

hansobed
Автор

Kwenye giza kaniwekea nuru nisiagaike..💥 Awesome...Mungu azidi kuwainua

justicemutua
Автор

Vita ni za Bwana si zetu...Asante Mungu kwa kutuhakikishia ulinzi....

Jameskariuki