Marco Joseph - Daktari (official video)4k

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ndugu hii uligonga Ngoma Moto just soo nice with great message keep up

benjaminongwae
Автор

Kama unaona baada ya kifo cha huyu bingwa gonga like tukisonga.

simonmutsami
Автор

🥊👌👌🏻👌🏻fire 🔥 inafariji sana brother shukran sana

agreyaloyce
Автор

Hakika Kenya 🇰🇪🇰🇪 tumeumia sana pamoja na wenzetu wa Tanzania poleni sana ndugu zetu

EmilyOchando
Автор

Umuntu aravye iyi ndirimbo icur cumi nkanj anyiher agatima.ndababaye kukumenya utagihari🙆😭😭😭😭.imana ibandanye ikworoherez ahowiberey🤲🙏

FlorenceNiyorukundo
Автор

Daah! Hakika kifo chako ni ibada kubwa sana kwetu tuliobaki, hasa tunaojifanya tuko bize na mambo ya dunia, naomba MUNGU usamehe dhambi zangu na za huyu anayesoma ujumbe huu, kufa katika kristo ndilo ombi langu, amen 🙏

MATIKO
Автор

Huu wimbo aliutunga maalum kwa ajili yake yeye mwenyewe, , , , mwenyezi Mungu akupokee akupatie pumziko la milele...Amina

DeniciaKanyengele
Автор

Pumzika kwa amani, huu ujumbe Mungu alikupa, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimediwe

lidyanapegwa
Автор

Support his kids na likes. .. ifike 10M. Pls Kenyans 😢

kahigafridah
Автор

huu wimbo una nguvu....kuwa Mungu ndiye Daktari...Mungu amlaze mahala pema palipo na pimziko, hamna shinda za mwili, roho ....Yeye ni DAKTARI...wewe uko hai mpe nafasi HUYU DAKTARI AKUPE MATIBABU....PIGA LIKE

isaacmwenda
Автор

Mungu naomba umpokee mwanao ktk ufalme wa mbingu..
Huu wimbo unagusa nyoyo zetu.

LaurenciaKitauli-orrr
Автор

This young man had such an exceptional voice , I know his children will rise 1m times more in Jesus Name, I pray for his wife if we keep watching and liking daily, they'll never starve, it's the best we support,

treasureforashes
Автор

Such a great song.Hakika ni dactari anayeponya . Can't stop listening to the song.May God bless you abundantly and continue using you . Trough this song I believe your going to another level 🙏🙏

jacklinenyambura
Автор

2liorud kutazama baada kifo chake gonga like!!

abedysteven
Автор

Can't stop listening to this song..blessings all the way from Kenya ...

fridahmutuku
Автор

Sote njia yetu ni moja, Marcos katangulia nasisi tutafuata njia hiyo siku yetu ikifika. like plz

Agustino-gm
Автор

Kwa sote hii iko on another level..God please continue blessing kaka Macro Joseph kwa yote anayoyatenda💪💪🙏🙏🙏

jellydenmongish
Автор

Mimi kama Mkenya hii nayo nimeifeel poleni sana WaTanzania tunawapenda sana wakenya kujeni hapa wote tuwaombe pole wana Zabros Singers wakuwe na moyo wa kuvumilia Mungu aiweke Roho yake kaka mahali Pema

brianrobert
Автор

Can’t stop listening to this song. Needed the affirmation to trust in our lord. Marco Joseph may God continue blessing you and the rest of your Zabron singers family. From wintery Canada 🇨🇦 🙏🏽

JS-kciz
Автор

kama alijua jamani mbona huu wimbo 😭😭ni kama alishakwisha kujua ana tatizo la moyo😭😭😭😭😭 Mungu mpumzishe kwa amani pia tupe kuweza kuzihesabu siku zetu kwani duniani tunapita😭😭😭

joycelaura