JAPHET ZABRON - NIACHE NIENDE (official video)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaamini japhet ni MTUNZI na mwalimu wa zabron singers group tupia like

ritiaskayanda
Автор

I'm the first gospel artist to like this good gospel music video... Wapi likes zangu

Alfredmusa
Автор

Kenyans let's gather here.
His songs are blessings.

KibetAcademician
Автор

Wababa wote duniani Mungu awape maisha marefu yenye furaha na amani. Halafu nawaomba musiweke vitu rohoni mkapata pressure bure. Nawapenda wababa wote

MoosaMd-hb
Автор

Amazing song 🇰🇪 we love you Japhet God is taking you far

naomifavor
Автор

Why am i crying 😭..Bwana leo nazibeba shukurani zangu nazileta kwako.ninao muujiza ktk maisha yangu bwana umetenda na wala sii moja.kwa muujiza huu niacheni niende kwa baba nikaseme japo asante.indeed this is a nice song.wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪gonga likes za Japhet zabron tukisonga❤🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Millieykitawa
Автор

hii song kesho ntakua wa kwanza naingia nayo kwa ndoa yangu proud of you bro

GabrielEmmanuel-upnh
Автор

Mungu abariki vipawa na Kalama ya watoto Hawa mungu azidi kuwa siimamia juu ya Kalama mliyo nayo amen❤❤❤❤❤

yms
Автор

God bless you Zablon singers. Poleni sana kwa msiba. Mungu awafariji especially mjane. Tuna waombea. Japheth, Ahsante kwa wimbo huu. Mubarikiwe sana.

pamellanyaboke
Автор

This song is a blessing to cant start a day without listening to Japheth for real you are talented Kenya twakupenda kaka❤❤❤❤❤

feleshaatello
Автор

Pôle sana ndugu zangu mungu awa fariji.

asNgungu
Автор

From Kenya 🇰🇪
This song has been a blessing for me today as I wait for my bundle of joy. I can't wait. Thank you LORD🙏🙏

MillicentShambetsa
Автор

Is it true what I have just Heaven has gained a beautiful voice😢😢

janetogutu
Автор

Kabsa nyimbo zake huyu Japhet zinanibariki na kunifurahisha sana mno

EstellaGirl-ck
Автор

poleni Sana kbs wa pendwa wetu MUNGU wetu mwenyewe awatiye nguvu Sana kbs

emmanuelmunanabisimwa
Автор

Daaa!!! MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA, AMEN, POLENI WAFIWA

joidingoliama
Автор

Poleni sana ndugu Japhet kwa ku mpoteza mmoja wenu!! I’m so sad from Congo 🇨🇩

gandhingira
Автор

Japheth kwa wimbo huu yaani nimebarikiwa sana sana Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu

esthersissamo
Автор

Watching this song after learning of the sad news may God comfort this family 😢😢😢

vinnyomosh
Автор

Kutoka nchini Kenya, shukran ziende Kwa Mungu muumba Kwa tenzi nzuri

justusgwaromagangi