Fix You: Sababu potofu za kuingia kwenye ndoa, mfahamu mtu aliye tayari kuoa/kuolewa

preview_player
Показать описание
Kwenye #FixYou, Irene Kamugisha anazungumza na Joseph Ngomite kuhusiana na sababu potofu za kuingia kwenye ndoa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dah yananihusu haya yote nahc hiki kipindi kilikuja maalum kwasababu yangu Asante sana guys nmejifunza mengi maana nlikuwa napitia mengi kuwazua kuhusu namna ya kuingia kwa ndoa. Stay blessed 🙏

geraldnaftal
Автор

Asante mnenaji
The point from the scratch nimeiona hapa shukrani
Utayari na Kujitambua ni muhimu sana

emmyjimmyK
Автор

Somo zuri sana, i learn a lot... Mbarikiwe 😊

LadyveenOfficial
Автор

I love you Irene & am proud of u for what ur doing, I have learn many things from you, I just wishing you happy new year and may Allah guid & protect u 🫶

salehsalim
Автор

Asante san, kwa mada nzuri. Lakini ningependa kujua vipi kama ulie nae anakuektia ili mladi tu akupate, mana unaweza kujua umempata mtu sahihi kumbe amekutazama wewe jinsi ulivyo then baada ya kumkubalia au kuingia ndani ya ndoa unaona mtu amekubadilikia na wala sio yule mlie kuwa nae kwenye mahusiano

michaelrimisho
Автор

Niwatakie mwaka mpya Mungu awabariki wotee, Kipindi kiko bora kabisaaa ..Nakufatilia tokea Nchini Omani

nickolatharwelamila
Автор

Leo umefix kwelii maneno mazuri umlete Tena

ashaidd
Автор

Daaah! Nimeelewa Sana
Maana nilikuwa mmoja wapo wa hayo yasemwayo kikubwa zaidi Kuna vitu viwili Kuna wazazi piah mm Huwa wananiuliza Sana mbaka wanafika hatua naambiwa bc zaa zaa tyuu utuletee ata wajukuu umri umeenda Mika 26 sasa duuuh naumiaga sana

tatumzelela
Автор

Imenikuta kiukweli mapenzi yanauma kweli unapo fikia kuwza mwana ndoa

orestocharukula
Автор

Ayse hichi kipindi kinawaletaga watu muhimu

lesusi
Автор

Dah yananihusu haya yote nahc hiki kipindi kilikuja maalum kwasababu yangu Asante sana guys nmejifunza mengi maana nlikuwa napitia mengi kuwazua kuhusu namna ya kuingia kwa ndoa. Stay blessed 🙏

geraldnaftal