Fix You: 'Kujichua kunaivunja ndoa yangu, kila siku nagombana na mke wangu' Dr Isaac Maro anamshauri

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jambo hili ni baya sana mbele za Mungu linda moyo wako kuliko yote ulindayo maana ndiko zitokako chemichemi za uzima mithali 4:23

danielndusilo
Автор

Hii kwa mambo ya kiroho ni mapepo.mapepo hata ni addiction kama kwa madawa ya kulevya.pia ni uzinifu sawa na uzidifu mwingine.kimbia hilo people saana when you fill like to do it fikiria mambo mengine kwa kichwa kama kusoma neno la Mungu etc.

sophiakimaro
Автор

Yaan Dr. Nimekuelewa na nimekupenda bure❤❤❤🙏🙏👍👍🎉🎉🎉🎉🎉

aminaomary
Автор

Shukran sana kaka, hakika nimejifunza mengi

frankvianey
Автор

Elimu Nzuri SANA Ila Tuwe Na Tabia Nzuri Mungu Yupo Nasi

Udindigwa
Автор

💚💚💚Hahaaa hiyo salamu...sasa
....
Nilizani una sema na wewe ume bahatika kufanya hahahaa🤳🤳🤳

damaresi
Автор

Wenye Hela hawan nguvu za kiume, weny nguvu za kiume hawana Hela! Tutafte watoto tu maana ukiwa huna Hela ndani hata kusimamisha huwez

rpynoel
Автор

Hongera sana Kaka umetupa ushauli wa maana nahis utatusaidia sana kama wahanga wa hili

Balogetv
Автор

Atumie supplement flani hv zinaitwa Maca root ni nzuri sana ziko interms of capsule after 30 days kila siku awe anatumia 2capsules ataona mabadiliko aaache kujinyonga for three months kwanza

ChoroTesla
Автор

Namlaumu sana binam yangu alinifundisha nyeto ya mafuta mpk leo sitaki kuyaona mafuta yoyote ya mgando

trillionthamani
Автор

Dah doctor kaongea kitaalamu sana, achana na wale waganga wakuuza dawa za nguvu za kiume

gadluck
Автор

PUNYETO si mwanaume tu' hata Kwa Mwanamke ni hatari inasababisha pia Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa..!

ismailmasoud
Автор

Mm mkewangu akitoka akasafiri shetwan ananivamia napiga masta b so kila Mara Dr si itaweza kuniletea shida mbelen

felixkato
Автор

Dr. Issack maroo ni mgodi unaotembea ilitakiwa muutumie kweli kweli naona kama mtangazaji alikosa maswali mhimu ya kumuuliza sijajua kwa nini hii interview asingeifanya sky mwenyewe.

joharyrajabu
Автор

Dr yuko vizuri sana💯
But bado inaitwa addiction

damariszuckschwert
Автор

Mwambieni anitafute tuongee mimi nitamsaidia ili tujue afanye nini naamini atapona bila dawa. Kama yuko tayari aweke no yake ya simu ya whatsp. Mimi niko nje ya nchi. Furaha yangu ni kuona furaha ya wana ndoa na amani yao.

stellasimon
Автор

Huyu jamaa namkubali sana kwq kweli mkweli sana nimeangalia video zake sana afya check wqkat mama watoto mjamzito amenisaidia sana

abdallaameir
Автор

Mimi nimepita tuu nasoma comments kuna watu wanachekesha sana.

eliminalevocatus
Автор

Walio athirika na Hilo Jambo tupo wengi na wengine wanahitajia msaada hebu saidia mawasiliano au namna ya kupata msaada wenu. Nivyema labda kuonana .

hajihamadi
Автор

Mm ninachojua mwanaume akiwa na UOGA anamaliza haraka, akiwa amepania sana anawahi kumaliza, akiona kitu kikam-bore pia atawahi kumaliza.... Na ukijichuwa unsjisikia kichwa kugonga au sometime sambamba na kuchoka Hivyo wahuni tujitahidi kupambana na kuepuka hii kitu japo inanadiwa kama kitu kisichoachika kirahisi.

loner_wolf