Fix You: Kabla ya kuoa, au kuolewa, fanya haya kwanza, Je! Kuolewa ni bahati? Usipoolewa una kasoro?

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaan huyu mama anakitu cha kuiambia dunia. Ubarikiwe sana. Mungu amejua kukutumia.

neemazephania
Автор

Very profound ! Asante sana mama Mugassa ! Vijana wetu wanahitaji muongozo katika ndoa ili wafanikiwe maana chanzo cha Jamii nzuri ni familia / ndoa nzuri ! We need mama Mugassa more and more katika topic zote zinazohusiana na ndoa .

dorothywibabaragatera
Автор

Ahsante Dada Irene kwa kutuletea Mama yetu amefafanua vizuri sana.. binafsi, nimebarikiwa na arudi tena✨

wansibho
Автор

Nina 37 wakati wa mungu utafika ntaolewa

isunga
Автор

Ahsante Mungu wa Neema kwa Ajili ya Mafunzo haya 🙇‍♀️😢 Ubarikiwe Mama Mungu Akujaze Tena ❤️🙏🏽

Mimy_keys
Автор

Asanteni sana somo nzuli mubarikiwe sana

gloriosehakizimana
Автор

Shalom mwana wa Mungu Iren uwe unakunywa maji ya moto mara kwa mara na uwe unapenda kuomba

pericykiko
Автор

Nice one.... lesson ...love your self that got me

khalidgush
Автор

I’m 32 na huu mwaka naamini nitapata ubavu wangu tufunge pingu za maisha kabisaa🙏🙏🙏

Chrisscherry
Автор

Asante Yesu kwa kuwa mume wangu nitapewa. Asante mama

hidayaswai
Автор

asante mama umenisaidi kwa ushauri wako, coz sahii niko kwa mahusiano but weee

Munahi-
Автор

Asante sana. A well educative session.

elizabethkwigeza
Автор

Eeh MUNGU, endelea kumbariki dada Irene aendelee kutuletea watu wenye madini ktk maisha yetu.
Ahsnte mama Kwa hili somo, ubarikiwe mnoo mama.

hopesengo
Автор

Background music ingepunguzwa kidogooo pls🙏

berthaleonardbihondo
Автор

Mungu amekupa hekima sana na maarifa yakiMungusana.

mariamwamsojo
Автор

Amen ubarikiwe sana Mama yaani angedelea tu.Mungu azindi kukutia nguvu

jacquelineoemtoka
Автор

Ma'am barikiwa umeongea vitu muhimu sana sana

pericykiko
Автор

Nimeona nitulie nisikilize hii store mpaka mwisho maana nataka niingie kwenye mausiano duuu najifunza mengi nachoona dini ukiishika sizani kama utateseka kwakwelii

eliudijustinyindi
Автор

Namupata mia mia kabisa alicho ongea ni msingi katika kutaka kuanzisha safari ya ndoa Mungu amuongezee hekima

naomienana
Автор

Kweli kabisaa ulichopewa na mungu hakina maumivu Ila ukitafuta mwenyewe aaaah utakipata na malazote naonaga ndoa zinazo ongoza kwa kuvunjika nizile ambazo watu waliloga ! Au walivutiwa na vitu frani

nolimittvonline