Fix You: Mwanaume anayependa sana ngono amekosa sifa ya kuwa mume anayefaa - Deo Sukambi

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thanks kwa kumrudisha, anaweza rudi tena na tena ikikupendeza 😉🇨🇭🇹🇿❤

aminanamoyo
Автор

Nashukuru kwa masomo mazuri tunaomba mtuleteee masomo namna ya kuishi mume au mke aliyepoteza wazazi wote.

AIMANAURONU
Автор

Hapo big up, ke wengi wana taswira hizo azisemazo pastor Deo.

ReubenRaymond-zhyw
Автор

Nimekuta maswali yangu yamejibiwa vizuri na Pastor Sikambi tena ni maswali ambayo yalikuwa yananitatiza kwa muda mrefu sana asante Dada Irene kwa kutuwakilisha vizuri kupitia maswali 🙏🏾🙏🏾

puremagic
Автор

Pst kweli mimi ninayapitiya nilisaidiya akanionasifai mpakapesayangu sijaiona ikowapi mungu atusaidiye wanawake

bibishejuma
Автор

Kuanzia 1:06:00 hapo amejichanganya sana. Unasema umempaje mtu mamlaka ya kukunyanyasa. Aondoke ushamzalisha watoto aende wapi. Aende wapi?? Hapo kwanini usizungumzie namna ya kusuluhisha.
Hapo umepotosha sana😢

John-vnpp
Автор

Ngoja nifanye hitimisho, , , kama mwanamke anakila kitu kikubwa akiwa na dini na hofu ya mungu bila shaka atakupa nafasi yako kama mwanaume

jamilaathumani
Автор

Yaan kka nikupe hongera mashallah mashallh uko vizuri kila swali upo sahhi

azizakombo
Автор

Asante sana dr nimejifunza mm pia muhanga ktk hilo

humairamajengo
Автор

Ahsante sana nimejifunza ambavyo sikuvijua.

judithmwambe
Автор

very helpful japo tunatamani sana Dr. Ellie aje

vicknessngenzi
Автор

Shukrani mchungagi je swali langu ni ivi ikiwa mwanaume alikau na kanzi akaja kaipoteza. Sasa Hana uwenzo waku mdu jamii ni vimbaya kusaidiwa na mke wee

simonpeterz
Автор

Wapo wanaume ukiwasaidia wanajua kuregesha wema kwa kweli, yaani sio wote

babyhamisi
Автор

Fix you muko vizuri.
Sukambi ni mtu na nusu endelea kutuletea.

adamj
Автор

Kipindi kizuri sana. Nimevuka sana. Mungu awabariki.

hedayajamada
Автор

Kipindi kizuli sana, , kiendelee Ili tujifunze Zaid, , innshaala,

jamilaathumani
Автор

Mchungaji mungu akubariki, weka no yake

happynescostat
Автор

Baadh ya vitu ni sahihi, lkn sasa mwnamke mnamshusha sanaaa aiseee

latifahud
Автор

Please elaborate more kuhusu wanaume waliolelewa na mama zao tu. Nineipenda hio topic. I have a guy who is been raised by a single mother, I do really wanna know him in deep.

sharifamohammed
Автор

Topics zimekuwa nzuri sana, mbarikiwe sana I have learned alot.Lkn nina swali, je mwanamke anaweza kuzungumza na mumewake kuhusu mada hii?Au itakuwa mbaya kwa mwanaume?

joycesethmwangonda