Fix You: Mama Terry atoboa siri kwanini mwanamke anaweza kuchepuka, sababu ya ndoa kuvunjika sana

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

This is your best interview yet. Mama Terry speaks with such Swahili eloquence and depth! The same way she treates the language is the same way she treats the subject of Marriage with depth and eloquence. This is from a Kenyan man who lives in the states. Great work Irene as always!

echolude
Автор

Very valuable and educative. Totally agreed. Wish i could meet mama terry one day. Stay blessed

generosennko
Автор

Naomba wanawake 10 waliochepuka ili waulizwe kwa nini walichepuka, kuna show moja ya Oprah alikusanya wanaume kama 6 hivi waliochepuka kwenye ndoa zao na akawauliza kwa nini walichepuka kuna baba mmoja akasema alichepuka kwa sababu huyo dada aliyechepuka nae huwa anamadmire sana, huyo baba akavutiwa nae na kuchepuka nae ila baada ya kuchepuka aliumia sana kwa nini kamsaliti mke wake.

kiazikitamu
Автор

Economy na economy class ina tafauti gani ? I need answers please

mwajumabinwa
Автор

Mama Terry mie sikubaliani nawe watoto wa siku hizi tunawafundisha hawasikii tu.

dorothyrugumyamheto
Автор

Mi huwa namuangalia dada Irene tu somo linavyomuingia. na lips anazing'ata tu!!. haha

jrlamar