Fix You: Vijana wanapaswa kufundwa kuwa wanaume, tusipoangalia watapigana vikumbo na wanawake salon

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kipind changu pendwa jost wangu pendwa irene kumigisha ❤💞❤♥️💋🙏🙏

hadiadaoman
Автор

Nondo zake zimekaa vizuri abarikiwe sana

jescabahati
Автор

Penye HOFU ya MUNGU brother hapo umemaliza🙌hofu ya MUNGU ikiwepo KILA kitu kinakaa kwenye mstari... Hakuna cha zaidi tutaenda tutarudi jibu ni MOJA tu HOFU YA MUNGU ndo msingi wa kuushinda dhambi na uchafu wa aina zote 🚶

stellamsokwa
Автор

Aiseee hakuna anayeongea kwa Evidence na story kali zaidi ya Mr Kanuti. Hakikisha unamuitabtena. Anajua sana mambo ya maisha hasa kutuelimisha masuala yetu wnaume na nyie wanawake

BabaBalingasi-hpgd
Автор

Somo limeshiba na lina vitamin zote asante sana😍

fatmahaji
Автор

Mwendesha kipindi anavyoonekana maelezo yanaingia sikio la kushoto yanatokea sikio la kulia

hericharles
Автор

Suala la mke wa pili kwa mkristo hapo amechemka, apostle akasome Mathayo 19:1-12, Malaki 2:14-16, 1Wakorintho 7:1-16.

pulikisia
Автор

Nashindwa kuelewa vizuri hapo uliposema mwanamme akilala na mwanamke mwingine nje ya ndoa sio kwamba hampendi mke wake, anampenda mke wake sana utampendaje mke wako halafu ukaenda kulala na wengine huo ndio upendo unaourudisha kwa mkeo anaempemda mtu hawezi kumuumiza .
Watu wanakula kiapo hewa kwenye ndoa wakati anajua Ana wengine wengi nje eti nitakuwa na wewe tu wanadamu tuache uongo mbele ya madhabahu, kwenye biblia hatukuona popote watu wanakula viapo viapo havisaidii kabisa kama anaesema hazingatii anachokisema ni ubatili mkubwa.

kiazikitamu
Автор

Huyu mwamba anatema point na hapo kwenye testolone atoe solution sasa maana kutokana na wanaume wengi kuwa na tatizo la testolone inapelekea sana kuaribu mahusiano! Lack of testolone in men also contribute to the rise of gay women a.k.a lesbians!😂😂😂😂

TradersEasyWay
Автор

Mwambiye pastor atipatie number Yake ya Whatsap kwani tunaweza kuwasiliana na wewe Pia hiyo😂ni Njian ya communication

anitamwamini
Автор

Kama anaijua bibilia vizuri akisoma kitabu cha mwanzo. Kinaelezea mambo makuuu mawili Mume utakula kwa jasho means KUTAFUTA at all na Mke UTAZAAA KWA UCHUNGU. Hapo automatically unaona utofauti tu tayari ila sasa mtume anatupa nadharia nyingi zisizo na evidence. Kuna maneno ukimsikiliza ni kama anasimulia watoto wake nyumbani kwake

Ni mtazamo wangu don't catch feelings

neckaphotostudio
Автор

Sijui ni peke yangu naona kama kulikuwa na Tatizo la mike ya upande wa Irene but anasikika sababu sauti ya kwenye camera imepick vizuri

Mcsceo
Автор

Mtafute Max Zitatu ufanye nae kipindi ana mengi ambayo anaweza kushare.

davidshebughe
Автор

Issue ya mwanamke kufanya kazi za nyumbani KIISLAAM mume anatakiwa amuwekee mke house girls wakumfanyia kazi za ndan, mke akifanya ni maamuzi yake

OnlyRuky
Автор

Mmmm ndefu kweli kweli. Kwanini msifanye part1 na2?

nadrahassan
Автор

Eeeeh kumbe nawastristo mmnaruhusiwa kuwoa mkee zaidi ya umoja ?

aishansanzimfura
Автор

Hapa ndipo napokuwa nashindwa kuelewa hizi nadharia mnazitoa wapi:
1. Unamsubiri vipi binti/mwanamke ambaye si bikra - ambao ni wengi siku hizi?
2. Mizani ya mahusiano ya kimapenzi imeegemea upande mmoja (mwenye mamlaka na ushawishi hushinda)
3. Tatizo kubwa mnadhani mahaba yanaweza jadiliwa kama mikataba, la hasha - lazima yaje kwa njia yake ya asili

padilijamesmikomangwa