Israel Mbonyi - Yanitosha

preview_player
Показать описание
Stream at

Keep up with Israel Mbonyi at

Contacts :

Yanitosha
___________

Chorus :
Yanitosha neema ya mungu
Ndio uzima kuyatambuwa
Kwenye mapungufu yangu
Ndipo nguvu zake Zatiimiya.

Verse :
Nimesulubiwa nae, lakini mi niko hai;
Si mimi tena, Kristo ndani yangu
Nitajisifia udhaifu wangu, kwa furaha nyingi
Ili uweza wake ukae juu yangu

Yote nitendayo ni kwa imani,
Sitaibatili neema ya Mungu
kamwe

Bridge :
Sio mimi Tena , Christo Ndani yangu
Hayo Yanitosha.

©12stonesRecord
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

How many kenyans are here waiting Islael mbonyi Nairobi?

mukiza.aimable
Автор

Sometimes it is good to live your life according to the scripture...am a Muslim i just want to give my life to Christ after listening to this❤❤

zuhurahalima
Автор

Rwandan people where are you 🙌🙌🙌🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

samitvshow
Автор

Sio mimi tena Christo ndani yangu, yaho yanitosha kekekekekeke..likes zake Izrael na Christo zikuje...asante sana nyote na nawapenda bure❤💚💚❤

everlynwanjiru
Автор

Kwenye mapungufu yangu ndipo nguvu zake zatimia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kama unaamini hivyo weka kidole👍

jerushawaithira
Автор

Naigoja sana from Kenya, , , wakenya weka like tukisonga

PaulMwinzi-bojc
Автор

sio mimi tena bali ni nguvu za Mungu zilizo ndani yangu

calvinmillioni
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 am leaving my comment here whenever someone likes it to be a reminder for me to listen again

damarisnthenya
Автор

If you believe siyo wewe Tena ni Christo ndani yako Nipe like.

voxpop
Автор

Sio mimi tena kristo ndani yangu hayo yanitosha (amen)
Kama umesaidiwa na maneno haya
Gonga like kwangu

NiyonkuruVianey
Автор

Jesus I love you more.... you carried my pain, shame, weaknesses...kwenye mapunguvu yangu ndipo nguvu zake zatimia

RosaNganga-zi
Автор

Kama wewe ni mkenya 🇰🇪 nipe like please ata Mimi nifurahi amen Israel

EverlyneMinayo-gp
Автор

From Mombasa kenya hakika neema ya mungu yatutosha, naomba like ya wale wote wanao tembea na kuishi kwa neema ya mungu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

maryadhiambo
Автор

This Man Of God has been a blessing to many in Our Eastern Region and even beyond East. Whoever believes that give me a like

hdtvrwanda
Автор

Kwenye mapungufu yangu ndio nguvu zake Kenyans this November 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

mbiriwangoi
Автор

Kama mungu amekufanya uione June like hapa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

AmathoInocent
Автор

Tanzanian wapi tuseme wote hapa Yesu atututosha, Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

marselinadena
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Yanitosha Neema yake Mungu🙏 sio Mimi tena Kristo Ndani yangu .Kama unaamini sio wewe tena Kenyans pita na like ❤

gracewangai
Автор

Hakika kwenye mapungufu yangu ndipo nguvu zake zinatimia. Amen

subilamwambingu
Автор

All Kenyans Kwa upendo mnaozidi kuonyesha juu ya Israel Mbonyi Mola azidi kubariki uzao wenyu Na kazi za mikono yenyu.love from Burundi ❤️❤️🇧🇮

RodriguezHatungimana-eovh