Israel Mbonyi - Heri Taifa

preview_player
Показать описание
Keep up with Israel Mbonyi at

Contacts :

Heri Taifa

Verse :
Nikasikia sauti nyikani
Tengenezeni njiya yake,
nyosheni mapito yake

Sogeleeni kiti cha neema
Mpate utakaso
Oh what a blessing
Oh what a grace

Heri aoshae (afuae),
Kanzu yake ndani ya damu
Akiliamini neno alilo ambiwa nae
Atakua kama Mti kando ya maji
Majani yake huyo,
Yatakua ma bichi daima.

Chorus :
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo.
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana waupendo

Verse :
moyo wangu, Sifu mungu
sifu mungu sifu mungu

- Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole,
Utairithi inchi, Utafarijiwa
- Nuru ilikuangaziya mwenye moyo safi Utabarikiwa, Utamuona mungu

Bridge :
Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao,
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake.

©12stonesRecord
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanao sema wako tayari kumkaribisha Israel mbonyi Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪gonga likes hapa tukisubiri wimbo mpya🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

Phoebenafula
Автор

Kila mahali ni bendera za kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ata mimi nimwagieni apa likes sasa🙏🙏

mercyshayo
Автор

Hallo am from Kenya 🇰🇪 wapi wakenya in the house. Likes zote zije❤

felix.
Автор

If you believe this is a prophetic song for Kenya, gonga like ukipita.🙏🔥

Connie_Mwenda
Автор

Huu wimbo ni wa Taifa la Kenya 🇰🇪 tumechangiluliwa....pita na like kama unajua tumechanguliwa🇰🇪

rachaelmuli
Автор

Kila mwana wa mungu popote ulipo gonga likes kwa utukufu wa MUNGU BABA🙏

yusuphlean
Автор

Tunakupenda saana israel ubarikiwe 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 gong like kama umekubali israel ameweza , 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

rubychero-hryh
Автор

For those who don't understand Swahili, Kindly Click on the YouTube subtitle button [cc], Thank you for always supporting this ministry . be blessed

Mbonyi
Автор

Hello from Tanzania 🇹🇿 Fons of Israel mbonyi please please please please please please naomba like hapa zote za Israel mbonyi heri taifa kama unamkubali weka like hapa zake zote 🎉🎉 🇹🇿🇰🇪🇨🇵🇭🇹🇰🇼🇻🇨🇿🇦🇸🇱🇸🇾🇹🇲🇹🇰🇳🇬

OFFICIALSEMAH
Автор

Abanyarwanda murihe, abakunzi be mumpe like❤

tuyi-yjlw
Автор

Oyaoya natokea Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏 tuna mkaribisha Israel mbonyi Kenya na wimbo mpya Heri taifa nyimbo ya Kenya ameiimbia nchi yetu nipeni likes 🔥💪👍👌 zenu

Moses-Modekai
Автор

Pia mm nataka likes plz, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ukinilike nakulike

emmahchepkorir
Автор

Hajawai angusha Kwa neema aliyopewa na MUNGU gonga like ata kama ni tatu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

MacklineAlando
Автор

Team kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 anguka na like 🎉🎉🎉 we can't wait to see you in our country we welcome

JaneWainaina-nbgg
Автор

Akh kenyans we love mbonyi sijui tumnunue 😢😅😅like zikuje🇰🇪🇰🇪

EstherNamunyak-uhzn
Автор

We Kenyans we have received this 🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪..Wapi Likes za Nairobi Kenya ❤❤❤🎉

piusmureri
Автор

My fellow Kenyans mnipe like please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

ngititanne
Автор

Wa ngapi wanasema mbonyi ahamiye kenya 🇰🇪

dljzgwk
Автор

Israel you have Kenyan blood, you know Africa is one country. Anguka na hiyo like

rosemunene
Автор

Amen son of God 🙏🙏 karibu Kenya, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mungu muumba bingu na nchi akubariki sana kumuimbia mungu ndio kitu poa, mungu akuongoze Kwa safari, be blessings.

fridahkawira