Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu

preview_player
Показать описание
stream at

Follow Israel Mbonyi at

Contacts :

Malengo
________

Verse 1
Atakaye kuwa na wema
Ahitajie kuheshimiwa
Basi aende ayatafute kwa
kutenda mema bila kusita
Asiyajali macho ya watu
Maana yao sio muhimu
Bali ajali jina nimuitalo
Kwani mi ni Mungu aliyemuumba

Chorus
Ninayajua yangu malengo
Ni mema sio mabaya
Ili niwape matumaini ya siku zijazo
Nawapenda

Wambieni wenye huzuni
Tulizeni wenye majelaha
Wambieni waje waone
Tuna Mungu mwingi wa upendo

Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
Katuosha na kutusafisha
Akatuahidi uzima wa milele

Verse 2
Simameni kwenye mnara,
usubiri ntakacho kisema
Zizuieni sauti za muovu
Na upende kuwa mwenye haki

Nenda omba tena uombe
Tofautisha kuomba kwako,
Maana hapo nitakuokoa
Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jeremiah 29:11
For I know the plans I have for you, ” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.

Bless y’all 😮😊

Mbonyi
Автор

How many Kenyans want Mr. Mbonyi to visit Kenya?🇰🇪🇰🇪🇰🇪

joskyshams
Автор

Waliorudia kusikiliza huu wimbo zaidi ya mara Moja kama Mimi like tafadhariiii🎉❤

maryyongo-oq
Автор

Wakenya wangapi huwa wanabarikiwa na nyimbo za mbonyi kama mimi✋✋✋

ShikoNgugi-nm
Автор

Israel Mbonyi to the world❤❤ Your songs are phenomenal ❤❤wapi likes za wakenya....

naomichepkorir
Автор

Israel mbonyi to the world 🥹🥹🥹Wap likes za Tanzania ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

nicemtey
Автор

Wote waliobarikiwa na huu wimbo kama mimi gonga like hapa.

tumaininalaila
Автор

I am leaving this comment here so that every time someone likes it, it is a reminder for me to come and listen to this beautiful, encouraging and wonderful song

LewisMugambi-vfwz
Автор

🇰🇪 Kenyans in the house praising Almighty God❤❤❤

Emmanuel-ztsc
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we got the message loud and clear brother. Let's show him love Kenyans.

karenngugi
Автор

Team Kenya Hoiyee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Malengo ya Mungu wetu 2024 🎉❤🎉❤🎉

zara.smithwick
Автор

Wambieni waje waone, tuna Mungu mwingi wa upendo ❤❤🙏

jnyabby
Автор

Big love from Kenya to Israel 🇮🇱 Mbonyi

OnyangoIsaac-rumu
Автор

Mbonyi he should Do a massive concert 🎶 in Kenya 🇰🇪 ❤ ahafite abakunzi beshi cyane mbibona Muri comments Rwose ❤️

eddyfightmanzi
Автор

We need a concert of Israel Mbonyi in Kenya🇰🇪

wanjirugracie
Автор

3.07 Nenda omba tena uombe tofautisha kuomba kwako maana apo nitakuokoa nitatoa jeshi kubwa kwa ajili yako, thankyou Lord ❤🇰🇪 🙌

Franciscakivinya
Автор

A proud
Mungu abariki Wakristo wote duniani wanapo ombea Malengo yao🙏🏾

junemuchiri
Автор

Team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 for Mbonyi. We love you so much❤❤❤

havenwriters
Автор

Wimbo huu wanifanya nisahau tatizo zozote hatanikiwa kwenye shidi kiasi gani❤❤❤❤❤

JmJmms-vv
Автор

Nyimbo zako zinaponya Sifa Na utukufu kwa Mungu
Amen 🇹🇿

Ohhvio