Israel Mbonyi - Amenisamehe

preview_player
Показать описание
stream at

Follow Israel Mbonyi on

Contacts :

AMENISAMEHE
________________

Chorus :
Damu yake iliyomwagika Imeshinda hukumu yote
Imeniweka huru tele Ninaimba nimesamehewa
Ameniwaka huru télé Ninaimba amenisamehe

1.Utukufu na Umungu alivua Kakubali kufunua kile kitabu
Kaja tafuta aliyepotea Huyo ni mi niliyemsulubisha

Nyalaka za mashitaka zilikuwa nyingi Babiloni yote ilijua jina langu
Ila baada ya kifo chake Damu yake Yesu ilishinda hukumu

2.Sikiliza we mlima nikwambie Nimesimika bendela ya ukumbusho
Nitarudi nikushuhudie, amenibadisha akanipa jina jipya
Sitaomdoa mguu wangu katika hilo bwawa la damu yake Yesu

3.Mimi sio tena wanayenitegemea Bali yule Mungu anae nitakia
Menibadilisha kwa damu yake Amefuta majina ya kale akanipa jina jipya
Wengi walifikiri mi ni yule wa kale Wengi walidhani bado natenda ya kale
Sikilizeni nimebadilishwa, amefuta majina ya kale akanipa jina jipya

©12stonesRecord
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

John 3:16
For God so loved the world that he gave his one and only Son,  
that whoever believes in him shall not perish but have eternal life.

May God Restore you and bless your heart as you watch and listen,
For those want English translation, Kindly Click on the YouTube Substitles [cc].

Mbonyi
Автор

HUU ndio wimbo Bora 2024❤❤❤ weka likes tukisonga

ronaldmunanda
Автор

You are not accidentally reading this; I see God changing your story, you will achieve what has never been achieved in your family. May your star shine today AMEN💟

SIBOMANAEMMANUEL-el
Автор

Damu ya yesu imeniweka huru nimebarikiwa sana 🙏🙏♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

christinemutsotso
Автор

Indeed ameniweka huru. I was tied to stagnation. See God now, I have a new name, new title, new life. Praise be the name of the Lord. Kenyans, kujeni hapa we celebrate 🎉

SheilaSoi
Автор

From Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kenya 🇰🇪🇰🇪 wapi like za Israel mbonyi amenisamehee gonga like zake hapa 😢🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

OFFICIALSEMAH
Автор

Halleluya!!!! Kenyan team, camping here to welcome "Amenisamehe" God keep increasing you brother Israel Mbonyi! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

zara.smithwick
Автор

Israel Mbonyi is one of the greatest gospel musician in Africa 🔥👏 who agree with me?

signolinekaneza
Автор

hakika ni mimi nilonsulibisha Yesu, lakini kwa Damu yake ilomwagika imeniweka huruuuu! 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🔥🔥🔥❣️❣️🥀

evertheobald
Автор

If you really love Israel Mbonyi truly without hypocrism like this comment❤🥰What a great talent that His Almighty God has generated upon us we're blessed to have this Man God thank you for your endless love and care 💟😘

hdtvrwanda
Автор

Kenyans, Rwandans, Ugandans Tanzanians, burundians gather if you believe Jesus is our Secret in everything you do ❤

MuhirePatrick-oi
Автор

Ukiwa unamwamini ISRAËL MBONYI kama ni muimbaji wa GOSPEL kubwa mu EAC nipe like Kwa UPEND❤ wa JUMUIA YA AFRICA YA MASHARIKI.
Thx MUBARIKIWE.

Nkurunziza-rnxt
Автор

Wewe unayesoma hapa uko HURU kwa jina la yesu, mwimbaji amekumbusha pia kwamba wote tu huru kwalo jina la yesu😊 God is amazing.

isayamasanja
Автор

Dear Kenyans 🇰🇪❤️Let's show some Love ❤️ to our Rwandan 🇷🇼brother ❤️. KENYANS if Israel comes to Kenya we are attending his worship experience ❤️

hannahnjoroge
Автор

Kenyans gather here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Wengi walifikiri mi ni yule wa kale Wengi walidhani bado natenda ya kale
Sikilizeni nimebadilishwa, amefuta majina ya kale akanipa jina jipya

I AM LOVED. I AM FORGIVEN

God bless you Israel and team.

mercymmwangi
Автор

The kind of quality gospel music! Much love from Kenya!

georgejumaa
Автор

Israel mbonyi tunaomba kama unaeza kam huku Kenya tunapenda❤ sana kazii yako bro, dear Kenyans kama tunakubaliana piga like hapa

itsBonnie-lohs
Автор

We as kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we declare we are forgiven by the precious blood of jesus. Lets all gather here and worship Him🙏 🙏🙏.Its all about jesus

MargaretKioi
Автор

RWANDA YOU ARE TRULY BLESSED TO HAVE MBONYI ISRAEL.

SIBOMANAEMMANUEL-el
Автор

Kweli damu ya Yesu imeniweka huru kweli hallelujah 🙏🙏🙏

nicemacha-jqou