Israel Mbonyi - Kaa Nami

preview_player
Показать описание

Keep up with Israel Mbonyi at

Contacts :

Kaa nami
__________

Chorus
Ikiwa nimepata neema kwako, unikumbuke
Jicho lako liwe juu yangu nyakati zote
Wema wako unisindikize Hadi tamati
Hili ni ombi langu, nakumwagia moyo Ninachoomba kaa nami
ikiwa nimepata neema kwako

1. Kutakuwa milima haitaondolewa
Kutakuwa na mito na sitaweza kuvuka
Sio kila ombi litajibiwa nipendavyo
Sio kila wimbo utakaotuliza moyo

Nimekupata, nina mtetezi
Unionyeshe njia zako
Nikujue.

2. Kumbuka hayo mema niwaombeayo wanaonifurahia
maadui zangu nao, uwape kukujua
Uwabaliriki kwa utele uwanyeshee mvua
yamkini watapata kuona
Wapumue upendo.

Tunaoshiriki hii huduma,
uwape uamsho
Uwabaliriki kwa utele ,
Baba wala-hi-sishie.

3.Kwa maswali na majibu,
umasikini utajiri, usumbufu utulivu
Ewee Mwokozi kaa nami

Kwa kupanda kwa kushuka,
habari za kuvunja moyo
Kwa uzushi na uongo
Ewee Mwokozi kaa nami.

©12stonesRecord
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kenyans 😅hebu mnigongee hii comment ifike likes 50 haki.

HappyBoat-egqn
Автор

This guy is really anointed. Wapi likes za 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

juniormuthusi
Автор

Everytime someone like my comment I’ll comeback to listen to this prophetic song ❤❤❤❤

karinamachette
Автор

Leo si pia mimi mnifanyie msaada wa likes hapa kwa ajili ya huu wimbo kama mkenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

JacobLuhambe
Автор

Where are my fellow Kenyans? Gonga like tukisonga mbele

emmakadi
Автор

Hili ni ombi langu ..nipeeni 10 likes aki wakenya wenzangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

StellaNganga-hk
Автор

Am late but atlist nimefika kenyans mnistue na likes kumi tu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Mommies
Автор

Mimi naye hamjahi nipea likes wakenya msikue

IshmaelPhanimz
Автор

Kenyans, we got genuine love towards Mbonyi and his Ministry🇰🇪🇰🇪 nipeeni only 10 likes pls

DanielsMwanzia
Автор

Kenyans ndio kufika, kumbe mlifika kitambo nipatieni only 50 likes please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰

beatricenjamiu
Автор

😂 WaKenya Mpo? Tafadhali tuonyeshe upendo na like 1000! ❤❤

AfricanWoodInc
Автор

Wenye hucomment alafu tuskize word by word tukirudisha rudisha nyuma🎉❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

ReaganKelvins
Автор

The answer can be yes or no na yote utabaki kuwa mungu wakenya pita n like💕💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

PeshMary
Автор

Mnaopenda nyimbo za Israel MBONYI like apa From Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤

PendaelHagaiMRPH
Автор

Kenyans mlikuja kutawala comment section.. We love Israel mbonyi here 🎉❤

winniewangeci
Автор

Wapi likes za mtu wetu 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 . He has done it again.

quinoperator
Автор

Ndio kudonjo😁🛬🛬🛬, wapi jeshi la Israel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

jaelokeke
Автор

Wangapi tumetoka KENYA. Tufurike hapa. Nataka likes 100

apostlejuliusmuli
Автор

Who is here 27th march 2025 God has been so good kumbuka mema niwaombeayo wanaonifurahia

SharonJebet-ed
Автор

Nani anaskiza na earphones with full blast volume? Wakenya wenzangu🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ata mimi nigongewe hii comment ifike 1k😅

danniekuria
visit shbcf.ru