ZABRON SINGERS-ATAFANYA KITU (Official Video)

preview_player
Показать описание
#atafanya kitu @ZabronSingers
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaipenda nipe like hapa daah mzuli sana

bizzotalent
Автор

Kama mungu ametenda wema kwako ebu nipee likes ❤❤❤❤❤

Kevin-hl
Автор

Jamani hivi mnajua tuna wapenda sana kama unawapenda like hapa mwimbo wa kuaza nao mwaka ila mfupi sana video nzuri 💓💓💓💓🇰🇪

felimanangu
Автор

Aliyerudia kuangalia kama mimi gonga like

tumainimalulu
Автор

❤️❤️❤️❤️❤️Atafanya kitu subiri tu kidogo

benoyugi
Автор

all comments seems to come frome 🇰🇪. Waiting for the album🙏

collinsbett
Автор

WAZUNGU WAPAGAWA NA WIMBO WA ZABRON SINGERS MKONO WA BWANA TAZAMA ...

madoratv
Автор

Kuna kwaya halfu Kuna hawa zabron mungu aendeleee kuwawek kwa ajili yet amhawah niangusha ❣️

ngelejamaziku
Автор

Wangapi tunasema huu wimbo unabariki.
Hebu piga ka like hapatukubaliane✔️

febroniamukandi
Автор

Hongereni jamani Mbinguni watunze this year tuone Mambo makuu aliyokusidia katika kueneza injili yenu nice song 👌👌👌👌👌

donathalyamuya
Автор

Mm nko tayar kuokoka kuwa msabato nasema kwa Iman
Nko tayar kuacha maovu yote

happynessdismas
Автор

Nadhani hii kwaya inatakiwa kuwa na darasa la mziki pale UDSM ama ST augustin kwa faida ya Taifa

kayembajohn
Автор

Amen, sitachoka nitasubiri Mimi nibarikiwe na mtoto

mercynyakongo
Автор

Nimehama kitengo cha kulialia sasa nipo level ya kufurahia.. Amina! Tupo na Mungu.🙌
Zabron, wimbo mzuri sana kama kawaida 🙏❤️

bonarerimakori
Автор

Jaman watumish mungu azid kuwatia nguv kwa Kaz nzur nabarikiwa saaanaaa

joycelazaro
Автор

Kwa kweli hamjui tuu mnavyotubariki. Tunawaombea huduma yenu iendelee kudumu na kumtukuza Mungu.

novotechenterprises
Автор

Tanzania tunawapenda kma mpo mnawapenda Mimi like hapo ndugu

glorymathayo
Автор

sina mengi ya kusema lakini mnachonitendea kuhusu wimbo❤️❤️❤️

eliudzacharia
Автор

Subili na wewe atafanya kitu Ongeleni sane waimbajii wenu

nduwayesujbaptiste
Автор

Nawapenda sanaaaa zabron singers mungu azid mzidiii kulitangaza jina lake kwa njia ya nyimbo

aselaabeli