NAOGOPA by Zabron Singers (Official Video ) 4k - Dir Crix.

preview_player
Показать описание
Song. NAOGOPA
Artists: Zabron Singers .
Song writer Marco Joseph

produced by: sabugo
Studio: zabron studio:  
Video Dir Crix.
Company: NEW ERA FILMS (NEF)

Choir Contact:

Zabron Singers,
PO Box 56,
Kahama,Shinyanga,
Tanzania,

Mobile: +255764333205
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwaka Jana nikiwa kwenye kipindi kigumu ya maisha niliyanganywa kila kitu nilichokua nimenunua na my brother nikawa Sina kazi Sina rent Sina school fees zaidi ya yote ameakikisha amenitenganisha na familia, nilijipata nimeingia YouTube nakitu ya kwanza nilipata ni huu wimbo tena nandio ilikua imezinduliwa hiyo siku akika ilinifariji So far God is Good amenisimamisha tena na ninaamini atazidi kuniongoza, munaopitia magumu musife moyo God is a God of second chances.

jackidan
Автор

Huu wimbo ni wangu😭😭😭😭😭😭nikitaka kukata tamaa na kumbuka watoto wangu na simama tena na anziya hapo na SONGA MBELE 💪💪💪😭😭😭

rebaccaewoi
Автор

Kama ulisubir Japheth na Jamila waimbe hukuwaona gonga like

ralphaMayungajr
Автор

If you’re reading this, May the Lord Almighty make it easy for you.

ahmedkaden
Автор

Zabron singers understood the assignment since day one 💯
Naogopa kusema mengi 🔥🙌..
Love from Kenya 🏆

PeterkenyaOfficial
Автор

Hata kwangu mawimbi ni makali zaidi ya zaidi, Baba Sema kitu naomba. Am not giving up on you!

beckyosamong
Автор

Kama Unangoja Hii Gonga Likes Tukisonga

btsshorts
Автор

Thank you Zablon singers. Nimesikiliza wimbo huu mara nyingi Sana na nimebarikiwa Sana na wimbo huu. Mbarikiwe Sana mnapoenda kueneza neno la Mungu.

happymoses
Автор

Mimi ata nimeogopa.. watu wananisengenya
Mungu nione nimechoka
Mawimbi ni makali Mungu...usinyamaze

brendanchagwa
Автор

Sometimes its seems God is silent, kumbe He is preparing His ways for you today, tomorrow or future... never lose hope on Him

kipkoechdennis
Автор

"upepo Ni mkali, mlima Ni mkali, maumivu Ni makali --nakuamini Mungu wangu💪💪

morrismwaniki
Автор

Nilikuwa napita tu bila kufungua au kusikiliza nyimbo hii, lkn kumbe ni nyimbo nzuri yenye ujumbe na nguvu za Mungu ndani yake. Hakika Mungu akubarikini mzidi katika kulitangaza neno lake na injili kamili ya kristo yesu bila kuzimia mioyo yenu na wala kuyumbishwa na upepo na sauti za dunia hii iliyojaa masumbufu na sauti nyingi za mwovu. God bless you all 🙏🙏

mhozastephenkagoroba
Автор

I am so depressed at the moment and my family is going through a rough time, please someone pray for me and my family 🙏🙏

joelokello
Автор

The song touches me.I can't hold my tears. It speaks the true story of my life. 7 years now, but I know God will come in one day at His chosen time 🙏🙏.Be blessed singers.

deborahjerotich
Автор

Kweli maumivu ni makali wapi subscribers

IDICKYTHEDIRECTOR
Автор

This is the silent prayer of everyone going through untold hardship. sote!

mimiSWM
Автор

'sema neno usinyamaze Mungu' .... Likes jameni

tituskorir
Автор

Gonga like 👍yako kama upo miongoni mwa wanaokubali kazi ya wainjilisti hawa...niko deep spiritually 💖

georgembile
Автор

Yeye mwenyewe amesema, .hatatuacha wala kutupungukia kabisa, ..
, .na huu ndio ujasiri tulionao katika Yeye ya kwamba tukimwomba Baba anatusikia na kama atusikia tunazo haja tunazomwomba🤗

reganshao
Автор

Nawapenda pia Nampenda kuimba ila sema cna support, mmbarikiwe sna

florasamson