Lady Jaydee - Mambo Matano (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Official Music Video by Lady Jay Dee
performing{MamboMatano}
Audio produced by Andy Muzic  ,
Written by G Boy and Joh Marley (C) 2023 exclusively licensed Under (Lady Jay Dee ). The video was filmed in Dar es saaam by Director Nicklass

Connect with Lady Jay Dee on Social Media:

Listen to Lady JayDee on Digital Platform :

+For More Information Booking lady JayDee :

©️2023 Lady JayDee All rights reserved.
Music in this video
Learn more
Song
Mambo Matano
Artist
Lady JayDee
Licensed to YouTube

#LadyJayDee #MamboMatano

Channel Administered by Smile Sasa TZ
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aliyekuja hapa baada ya msiba wa Ex wa dada gonga like

annefrancis
Автор

natokea Kenya jaydee nimempenda Toka kitambo..naomba likes 500😅

jeffintabo
Автор

My favorite song till this 2024
Kama bado unaendelezea kusikiliza kwa kurudia kama mim tujuane kwa likes

daisynyerere
Автор

Mwimbaji bora wa wakati wote.. @ladyjaydee kama unakubali gonga like twende pamoja kuhesabu mambo matano

zumbakhressa
Автор

Nakupa big up lady jay dee unaweza bwaana nipeni like ata tano wandugu😂😂😂

tatuomary
Автор

Sauti ya jaydee ni nzuri jaman 😊❤.naomben likes hata Tano kama mna agree guys😢

angelvictory
Автор

Kama ulimmis dada yetu commando jide like yako hapa 👇

DavidMbwilo-qkbz
Автор

This is not Bongo Flava Queen, she is EAST AFRICAN QUEEN👑👑This is not Bongo Flava Queen, she is EAST AFRICAN QUEEN👑👑

vitfxvg
Автор

Leady namkubali sana tangu kwenye HISTOIRIA, Naomba LIKE zangu toka CONGO 🇨🇩

mauricemadilugerson
Автор

Wimbo mzuri sana, kama umerudia zaidi leo weka LIKE

evelyn
Автор

Leo usiseme sana ni na mambo matano:
Moja: Good lyrics
Mbili: good vocals
tatu: Good Instrumental
nne: good dances
Tano: Nilikuja hapa kucheza

As a Burundian, all the way from Morocco

lionelndikuriyo
Автор

Wote tulioachwa af waliotuacha wanatukumbuka gonga like apa

wnbpclj
Автор

Nyimbo taamu ssta inamambo mengi saana ya kujifunza kwa waimba matusi ur de best of all time
🎉🎉 Nakupa maua yako mapema kabisa.

machichaally
Автор

My queen 👸 of bongoflava since 2000s ukimkubali jaydee nipeeni likes

nehzreal
Автор

Lady jaydee is my best female musician in east Africa tangu utotoni mwangu

rachelsummer
Автор

Mbona uyu Jamaa anafanana na G Habash ....kama na wewe umeliona ilo nipe like

davidmakala
Автор

She's back with the real love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

briankibaki
Автор

People will listen to jaydee a hundred years from now, she is so good.

kabaandrew
Автор

She knows the worthy of her music. Almost all her music is timeless. Much love from Kenya 🇰🇪

francistunje
Автор

Jaydee ni mrembo kuliko mabinti Wote tz. Kama uamini nipe like

meshasjaguar