Brayban - Ana Wivu (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Official music video for song “Ana Wivu” by BRAYBAN.

FOLLOW BRAYBAN

WhatsApp/Call: +255655607692

Brayban - Ana Wivu Lyrics

Intro

Don music, onana don

Verse 1
We si ulisema una mpenzi
nami nina mpenzi na nnampenda,
sasa chuki ya nini kati ya mimi na wewe

Ulininyima usingizi kabla ya kulala wako unampost
sasa chuki yanini kati ya mimi na wewe!

Tusioneane wivu uh
Nimeshapata majibu uh
Mapenzi gani butu, yani kila kushikiana visu
Uliomeza p2
Nilijifunza kitu uh uh

Ulinivunjavunja, majeraha moyoni
mwenzako anatibu uh uh
Kanistahi rabi, ungetuacha tukalala
Punguza vimesejimeseji vyako
simu yangu anayo mwenzako ooh

Chorus

Ananiuliza
Ananiuliza
Ananiuliza we nani?
(nani anapiga simu usiku
Ananiuliza
Ananiuliza
Ananiuliza we nani
(mwenzako ana wivu)

Verse 2
Kwani ih ih umesahau, ulinionesha picha
Nameseji zake unaforwad ili umiumize
Mwenzako anakosa gani, au kosa kunipenda mimi
Kwangu uliacha nini, ndo nikuulize
Mwenzako namwitaga mama ukimya
Kwako maji yalizidi kina
Yani bado kidogo nikose uzima, niache nilee
Kanistahi rabi, ungetuacha tukalala
Punguza vimesejimeseji vyako
simu yangu anayo mwenzako ooh

Chorus

#brayban #anawivu #tusioneanewivusong #braytz #anawivu #mapenzi #mahusiano

………………………………………………………………………………………………………………………………………………………….
brayban ana wivu, tusioneane wivu song, ana wivu, ana wivu by brayban, ana wivu bray tz, ana wivu brayban, brayban, tusioneane wivu latest song, tusioneane wivu, prince brayban, prince brayban ana wivu, don music ana wivu, wivu by brayban, anawivu, brayban wivu, tusioneane wivu nishapata majibu, ana wivu by bray, wivu, ana wivu song, bray tz wivu, tusioneane wivu nishapata majibu song, bray tz, ana wivu by bray tz, wivu by bray, wivu song, brayban song, bray ban ana wivu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wimbo mzuri sana ila views ndiyo chache this song deserve 20 million views much love from Kenya.

Josephmakokha-pnmu
Автор

Tujuane hapa kwa like watu tulioirudia mara hii ngoma ❤❤❤❤

missmwayway
Автор

Mahojiano kama ulioyafanya kupitia SNS, ni muhimu sana, kwa kutangaza kazi zako

ramamabinda
Автор

Man Kila siku lazma Io wivu kwagu apa tuh❤❤❤❤❤ sweet sanaa❤❤

peterkingoo-txrv
Автор

Leaving my comment here so that everytime someone likes it I come back to bless this jam. Kudos Brayban

nyagakennedy
Автор

Brayban naomba like tatu kaka mwaka 2024

Devilinintungwawcvk
Автор

All the way from tiktok to YouTube then straight to boomplay❤

ProminaMusyoka
Автор

Nakupenda bure hu Wimbo naeza sikiza zaidi ya mara kumi nikikumbuka my baby daddy alivyo nifanyia

Lucylevina
Автор

Huu wimbo mshirikishe DIAMOND PLATNUMZ au KONDEBOY utatoka vizur sana

lesliemgimba
Автор

Huu wimbo wako umebeba ujumbe mzuri sana, endelea kufanya kazi kwa bidii. Utafika mbali, nakupa sapoti na niko tayari kukusapoti.

jamesnyakia-umiu
Автор

Aaah hii wimbo nmeitafuta jamen ndokufika ila Ngoma iko message Kali

SofiaMwero
Автор

There is no need of denying likes this talented boy, , , 🎉

KoonyoJames
Автор

Ndo nmefikaaa kutoka pale tiktok Ni Kali Sana Na Ni tamuu❤❤

ShalvinMoraa
Автор

❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kali sana mwamba anajuwa kugusa hisia za watu mara

HashimuHamisi-nm
Автор

Wimbo mtamu sana. .watching from riyadh

catherinemokami
Автор

Naomba uitoe remix ya hii ngoma na either Marioo, Jay melody, Marlow au Barnaba. Na pia beats iwe faster Ile naona kwa TikTok mingi. With a quality video.

esekongodfrey
Автор

Talented artist for the first tym nmelike ngoma ya kenya strong msg to ex

KhalidAskari-xz
Автор

From TikTok now I'm here it really touched my heart love the song
My first time to listen to your music, I'm your fan 👌

favourmoraalove
Автор

more lakini pole zake lakin amuombe mungu amhengee ushuhuda God is light of life

geeboy
Автор

Kali kabisaaaa, , , , from Tiktok to shazam ndio nimefika hapa

bethwelserem