Israel Mbonyi - Uwe Hai

preview_player
Показать описание
Keep up with Israel Mbonyi at

Contacts :

UWE HAI

Verse
Mbali ninayatupa hayo yote yakushirakiyo
Maana Mii Ni Mwenyezi Mungu, Usinzie nakufunika
Tena Mimi Niko Naweza kukutunza
kwa Neno la Kinywani mwangu

Na utayalalia haya Maneno
Kisha na mkono wangu
utakandamiza malengo ya wabaya
Maana Mimi Niko
Nitakulinda kwa gongo la Upendo wangu
Uwe hai, natamka, uwe hai.

Chorus :
Uwe hai, eweee Uwe hai
Uwe hai, eweee Uwe hai
Wee mifupa ilio kauka , Ewe uwe hai
Wee mifupa mikavu ewe uwe hai
Akanitazama kwa utele wa upendo wake,
Eti uwe hai
Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake,
Eti uwe hai.

Bridge :
Uko na alama ya damu yake mpenzi
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema.

©12stonesRecord
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wakenya wenzangu sijawai fika like hata 50 ningongee please this song the best ya kufungia mwaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

ernestchacha
Автор

Na kweli Kenya tunapenda uyu jama ndio ujue angalia comments zimejaaa wakenya pia nigongeeni like wakenya wenzangu nawapenda

Stevekim.
Автор

KENYANS🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 GATHER HERE. Wapi likes jameni

MunyiBonface
Автор

Listening from Lebanon, naamini ntarudi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 salama, munipitie pia mm na likes kumi tu ntashukuru sana

felisternasike
Автор

Jamani wakenya tusitupatane naomba like zenu...team

harrykithi
Автор

Team Israel Mbonyi Kenya branch mpo?🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

joskyshams
Автор

Exactly 34 minutes am here, Kenyan fans nipeeni likes, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

mercyshayo
Автор

kama unapenda hii nyimbo nipe like. from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Esdrasiglucky
Автор

Wa Kenya 🇰🇪🇰🇪 wa Tanzania 🇹🇿 likes zenu muhimu kwa Kijana wetu Israel

FranciscoRafael-zd
Автор

Late comers ndio tunaingia Mko, ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

justusmsyoki
Автор

Wangapi tunataka Israel arudi kenya likes hapa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

patriote
Автор

Unafanya kazi safi sana mtu. Wa Mungu.Haikua bure ww kuteuliwa na Mungu. Naombeni likes zenu ata ka ni 70 from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

chidybwoy
Автор

From Tanzania 🇹🇿 nakuombeni like basi wakenya jirani zangu to show much love kwa Israel mbonyi

rabanmwanambesi
Автор

Wakenya tuko alama ya damu ya yesu wapi likes

FridahKinya-ozbp
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love you my fellow Kenyan's, let's spread the love of Jesus that our nation maybe healed...we speak live to Kenya, Kenya ooh Kenya hear ee the word of God, ... receive healing in Jesus Name 🙏🙏🙏🙏

janenaitore
Автор

Wapi likes za kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 na Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

jaliusjackson
Автор

Wakenya mlifa Sasa ngapi huku🇰🇪🇰🇪🇰🇪..hii worship song ni moto🔥🔥sana"UWE HAI"LIKE ZI COME 🙏🏿🙏🏿

kadenyikigalu
Автор

Am the first one today, Kenyans like zenu ziko wapi.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

GiftGatibiri
Автор

Team Israel Mbonyi Kenya branch..si tufikishe 5 likes❤

beinganitake
Автор

Wow Nyingine kali inakuja wapi like za wakenya 🇰🇪🇰🇪apa tukisubiria 🔥🔥🔥🔥🙏

NuruNdegwa-ygbm