Saudi Arabia: Sheria ya lazima kufunga ndoa ili kuishi pamoja kutomgusa Ronaldo na Georgina

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu jamaa ni star kweli na anapendwa sana duniani maana kazima story ya Messi na kombe la dunia Kila mda anatrend yeye tu🔥🔥🔥kama mtu kazi

davidmbwilo
Автор

Kawaid tu hata wafabya kazi weng hawajafunga ndoa ilimradi wwe usiwe Muslim ama ukiwa na tatzo ndo huwez sikizwa na polic

prettynayally
Автор

Kumbe iko na watoto wengine nilikuwa sijuwi

zabibuamissi
Автор

Uislam ulishatoweka kwenye taifa hili.😪😪😪😪😪

saidiamiri
Автор

Waendelee kuzivunja mpka Saudi ikue huru kabisa🙏🙏🤣

jygnknq