Cristiano Ronaldo ajiunga na Alnassr FC ya Saudi Arabia, mshahara wake ni wa Kihistoria

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yupo sahihi 100% ulaya wananyodo na kashafanya makubwa acha akarelax

mohammedyjacky
Автор

Money talk at the end is about money.... Good luck King CR7 the goat.

jabalimikechi
Автор

Kila mtu na maamuzi yake hata mseme kashuka kapanda..hata angeenda timu nyingine kubwa kuboresha kiwango chake..pesa ingekuwa ndogo..kaenda kwenye pesa ndefu ingawa kiwango kitashuka...na katika mpira kuna mwisho wake...lakini mwisho wa siku mpira ni biashara na maisha mazuri ni kuwa na pesa...sasa kipi bora...yy kachagua bora pesa..hata akistaafu ana pesa ya kutosha...ndio maana wachezaji wengi duniani maarufu wakistaafu wanakuwa maskini...sababu hawakutengeneza pesa ndefu kabla ya kustaafu...na hao waarabu watatengeneza pesa ndefu kupitia CR7...Hongera sana Cr7...kitu kimoja tuuu hiyo jezi ingekuwa njano na kijani...ingependeza

vincentmushi
Автор

Sahihi tu maana umri wake na Soccer la ushindani hamna tena apige pesa tu maisha yaendelee

rogersiddy
Автор

Me ata angekija simba ama yanga bado nita mkubali adi siku ana kufa CR7

yakoboesenga
Автор

Piga pesa dharau zawale hawana shukulani❤

akimanaarlene
Автор

Viva CR7 bravo bravo big brother 🔥💯✈️ Unyama 💯🔥🏆🏅👏⭐💫🌟

panchovalentino
Автор

Safi sana aende kula ela maana
Apo nduvu yake ilipofikia
Asante sana kw kushilikii

sayshabani
Автор

Mimi ni shabiki damu wa cr7 na nimekubali kwa moyo mmoja yeye kujiunga na warabu kwani wazungu wangeliuwa karia yake

jumambarouk
Автор

Safi san cr7 we una hela na unaheshima nakukubali san mwamba we ni mchezaji bora katika kizaz hiki

amehassanrehanirehani
Автор

Miaka 37 unakataaje mshahara mkubwa kiac hicho

ibrahimsamson
Автор

Great move our really GOAT, he has given his fans more than we could expect, he has been carrying the game for almost 20years with so many achievements, he has given his life and everything to football now let the same football take care of him #Arab money 💰💰🤣🤣🤣

blacktiger
Автор

Tupo pamoja na wewe mbaka kielewekee ✌️🙌🇹🇿

minginhoathuman
Автор

The Goat 🐐♑ always, kioaji inalipa jamani duu I wish ningejikaza kw kipaji changu 🤦😂😂😂 yani Ronaldo ni hot 🔥 cake, mi naomba tu kazi kwke ata y kupiga deki tu c kw hela hizo

issrahayattv
Автор

Maamuzi aloyafanya ni sahihi kabisa
Ameshinda kila kitu kasoro tu WC
Na kwa sasa kulingana na umri wake hana soko tena kwenye vilabu vya Ulaya bora aende huko aingize mkwanja mrefuuuu astaafu vizuri.

chiefkaitaba
Автор

Wanamchukia huyu kule alikotoka kisa anaukataa ushoga mm generally namkubali sana

braystuskibassa
Автор

Natangaza kwamba kwanzia sasa mimi ni Nashabiki wa Al Nasri 🤣🤣🤣

fasterwalker
Автор

Halafu hao al nassr ilikuwa haajafika hata milion 1, Instagram lkn jana walifika mpk sahiv inaenda milion 3

yumnasuleiman