MAPYA YAIBUKA: HUKUMU ya ADHABU ya KIFO ALIYOIKATAA RAIS MAGUFULI AKIWA HAI..

preview_player
Показать описание
MAPYA YAIBUKA: HUKUMU ya ADHABU ya KIFO ALIYOIKATAA RAIS MAGUFULI AKIWA HAI...

NCHI Kadhaa duniani zimekuwa zikipinga hukumu ya kifo, ambapo hata Tanzania, Hayati Magufuli aliipinga tena hadharani, sasa wadau wa haki za binadamu wamekutana jijini Dar kujadili namna gani wanaweza kuiondoa adhabu hiyo duniani.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Msiwauwe ila wafungwe maisha au miaka 30 kwasababu mtu akiuwa ndugu zake hawawezi kukubali kabisa

lissamsalu
Автор

Kwaivo ina maana kwamba sheria ya kwenye zimungu tu iwache?

hamadimadisa
Автор

Sasa hapo mnaongea KUHUSU muuwaji!!
Je aliyekuwa jee hakuwa na Haki ya kuishi!
Na Kama msemavyo, aliyeua kwa kukusudia!
Victim pia apatiwe Haki yake !!

salmatwaha
Автор

Adhabu ya kifo ifutwe, , isipokua kwa kesi ya uhaini pekee kutaka kupindua nchi. Mtu akiua makusudi kifungo, viboko, na kazi ngumu inatosha.

elibarikimollel