Mahujaji 3,000 Kusafiri Kutoka Kenya Hadi Saudi Arabia Kwa Hajj

preview_player
Показать описание
Mahujaji 3,000 Watasaferi Kutoka Humu Nchini Kuelekea Mecca Nchini Saudi Arabia Kwa Ibada Ya Hajj. Wasimamizi Wa Usafiri Huo Kutoka Humu Nchini Wanasema Kuwa, Kwa Idadi Hiyo Ndogo Ni Kwa Sababu Serikali Ya Saudi Arabia Imeweka Kiwango Cha Umri Cha Wasiozidi Miaka 65 Kutokana Na Mkurupuko Wa Janga La Covid19. Wanaonuia Kushiriki Wanatatakiwa Kujulisha Afisi Husika Kwa Wakati Ufaao Na Kupata Stakabadhi Mwafaka. Mwaka Huu Ibada Ya Hajj Inatarajiwa Kuanza Tarehe 5 Julai Na Kukamilika Tarehe 12 Julai
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashaallah , nendeni salama na murudi salama na Allah awakubaliye hija zenu na ambaye kaandikiwa kutangulia mbele ya haki Tunamuomba Allah awe amesha mridhia . Amin 🙏

kiri
Автор

MashaAllah, Allah atakabali dua zenu na mtuombee nasi InshaAllah...

teenthemstapha
Автор

Assalam aleikum tunawaombea safari njema, ila mkumbuke kuna ndugu zenu wa Kenya wanao teseka katika inchi ya saudia .

daprince