RONALDO na familia yake wanaishi kwenye HOTELI hii Saudi Arabia, kwa mwezi GHARAMA ni TZS Mil. 712

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Licha ya kuto kupata kombe laduniya jama ni Mchezaji mkubwa kuwayi kutokeya kabissa kwakizazi kipya anatumiya uhalisiya na nguvu za kihalali na ninyota ambaee huwezi mlinganisha nayeyote ispokuwa Messi

rgmoussa
Автор

Yaani hile hotel ni mzuri niliwahi kutembelea inanukia vizuri kahawa ya pale ni mzuri sana

jamil
Автор

Niko riyad iyoo sehemuu naishiyaa kuyionaa tuuu😇😇 nikipitaa kwaagari

nduwimanahafsa
Автор

Wow the difference between being life and living, people are living others guys, tutafute pesa jamani 👌👌👌

jabalimikechi
Автор

#ManU walidhani watamkomoa kumbe yy ndo kawakomoa
Yaani kumsaini tu ni Paun 400m
na bado mshahara sasa uliovunja record zote Duniani...duh!!! Mungu akisha kupa hakuna wa kukupokonya.

chiefkaitaba
Автор

Kumbe kwa mwezi mil.712 tu sasa kama mtu kwa mwaka anachukua B.200 sasa hata wakikaa hapo mwaka bado inakuwa b.8.5 hiv yan hata asilimia 5 ya mshahara wake haifiki

omariaman
Автор

Cr7 huyu kaka ana nyota ya kuvutia ukiachia mbali uwezo wake wa kusakata kabumbu

mzirairebeca
Автор

Kama ku chukua kombe la dunia ndo ubora wa mcheza basi messi na wengine siyo bora kwa moratha na mbappé but kama siyo ivo basi akunachezaji kama CR7 tangu dunia ihanze

yakoboesenga
Автор

Je wale maadui wawili wa Cr7..Rooney na Gary Neville wanasemaje...

vincentmushi
Автор

Wewe hapo hanaishi matajili we uku Riyadhi watu wanapesa

akimanaarlene
Автор

Ndio ujue waislamu wana double standard, wanamwacha mtu azini kisa ni maarufu na hajaoa🤣🤣🤣🤣. Double standard kabisaaaa

albs
Автор

Kwanini wasimpikie na vyakula vya kiafrika ugali nyama samaki maharage mchicha dagaaaa

fredrickmatiku
Автор

ronaldo na messi nani bora ni ronaldo msishangae

calmankimath
Автор

Huku sisi Fei toto anataka kutusimamisha dam kisa tu kaenda Dubai daah Mungu huyu

nunuuali
Автор

Waarabu ukiwaelewa tu pesa zao hazina kazi kuzitumia kwanza wao sio watu wa kufuatilia kwamba nchini kwako ina thamani gani wenzetu wanawaza kupata na kuzitumia mambo yakusema kupata na kuziweka ili ujulikane uko na pesa tunajua ss waafrika na ndio maana hatufanikiwi ndio maana nimeamua kukaa nao hata waniite meskini aku wakinipa rial10 mie kwetu elfu50 naa kimeharibika nn na nikiangalia kwetu hupewi mpaka utumike kimwili usiku kuchaa wallah nabaki uarabuni🤣🤣🤣🤣

sakshidaniel
Автор

Sns kuna video ina trendy uganda 🇺🇬 wafikishie subscribers huku

yolo