MAGOLI YOTE SIMBA SC {3} VS TABORA UNITED {0} | LIGI KUU YA NBC 2024/25

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Simba nguvu moja asante MUNGU kwa kutupa ushindi siku ya leo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

WendeMposola
Автор

Simba nguvu moja, tushikamane, tuwe na subira, tuwape muda vijana, .kwani mambo mazuri hayataki haraka

hriscjp
Автор

Naombeni like hata 50 tu wanasimba wenzangu..kisha njooni tuangalie bongo data

bongodata
Автор

Huyu mashaka mzuri wamuendeleze kama mzize

samwelingasa
Автор

Wanasimba tutulie hii timu itakua hatar ni swala la muda tu anatutengenezea timu na kurudisha Falsafa ya mpira wa simba

zaynd
Автор

Oooohh!! Namba kumi gani hajatoa hata assist. Hiyo hapo leo kawapa. Jean Charles

omaryyusuphmacho
Автор

Sisi Wana simba tunaitaji flah kwa sasa

rypuhww
Автор

jaman nimeona makambo akiongea na azizi kii sijui wamekuja kuinjoy au katu mwema na utopolo maana nyuma mwiko sii watu wazur 😂😂😂😂

maikomatayo
Автор

We need a serious no. 10 ahoua ( must be like Mutale ) ...

No 10 is not connecting with striking force '!!

othmanwaziri
Автор

Ila kweli simba badohakuna timkabisa etimkwala nimkwala kumbe niuchwara madunduka kweli

OmaryJafary-de
Автор

Mashabiki wa simba inatakiwa tuwape nguvu wachezaji wetu ila tukiingia tena kwenye mfumo wa propaganda za wachambuz tutapoteana tena wachambuz wanalipya kuiponda simba kwaiyo sisi mashabiki ndio wakuwapa moyo wachezaji atakama siku awajacheza vzr wao pia ni binadam sio marobot.

jimmydizonga
Автор

Wee msenge kweli heti beki kufunga simba siyo bingwa labda angefunga mama yako mbwa.weeee achana na simba ye2 sawa

jamesgeorge
Автор

*beki kufunga tayari inaashiria simba sio bingwa tena*

shadrackjuliuskaboya
Автор

Katika jambo simba fc na viongozi kuhama uwanjani wa Azam complex nimefurahi sana yaan 😂😂😂 utopolo wanatuharibia mechi zetu

msurimtenukila
Автор

Sasa hvi inabdi wanasimba tuwe na uvumilov tim inajengwa mda huuu

HusseinRamadhani-tuld
Автор

Ila jamani ifike mahali timu kubwa kama hizi zisiwe na uwanja

YovitaHilalChilemba-xecg
Автор

Magoli ya vichwa mipango 0 hahhh haya ngoja tuwape muda😅

Fareedreal-lnuu