CAF CL | ANGALIA MAGOLI YOTE | SIMBA 3-1 ASEC MIMOSAS | HIGHLIGHTS

preview_player
Показать описание
Kwa story Zaidi tufuatilie kupitia Mitandao :
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ee Mungu mwenye NGUVU tunakuomba umlinde mchezaji P.O.Sakho awe na Afya njema na wachezaji wote wa SIMBA ili tushinde mechi zote zilizobaki AMINA

absm
Автор

Mtangazaj punguza kelele....this is Simba brother ❤️❤️

madarakamwakagugu
Автор

Tati tato senegal Tati 3 . Tanzania Simba . senegal Simbe and Samba Asante sana Swahili peaple peace and love from Senegal

moustaphagaye
Автор

Jamani msiwe mnarelax mwanzo hadi mwisho wekeni nguvu zote. Mnatupa raha mashabiki wenu. Pongezi sana.

gracesage
Автор

Hili kweli ni goal bora la mwaka duniani sio tu africa

malkavoice
Автор

Goal of the Year .Africa 2022. Macho yako yanaona kama Mimi?

shedrackjacksonkaboza
Автор

Sijapenda kabisa reaction ya mkude baada ya makosa ya Babu onyango yani anamwangalia tu adui anakabia tu macho nahisi angereact aggressively whenda asingefunga daaah. Huyu Jamaa akiwa hana mpira sio mzuri kbx

eliampagike
Автор

SIMBA ACHENI USTAAA, MUWE MNAJITUMA KWA NGUVU ZOTE MUWAPO UWANJANI YANI KUFA NA KUPONA. (MNAJISAHAU SANA)GOLI MLIOFUNGWA NI UZEMBE UZEMBE UZEMBE MNAKABIA MACHO MBIO HAMNA KABISAAA. HONGERA KWA MATOKEO

erickzephania
Автор

Nyie watangazaji mna tangaza vibaya khaaa ... Ninii kwanza mbn mnapga kelele tuu aaanh Ani naboeka khaaa .... . Lakini asanteee team yangu ♥️ Simba sport club 💕♥️💕💕💕

lidyaobedy
Автор

Ila jamani tuseme yote huyu Papaa Jonh Rafael Bocco ana mikimbio ya hatari yaani mabeki wa wapinzani hawapati amani kabisa anapokuwa uwanjani tumpe heshima yake

magesachacha
Автор

Vzr xanaa good quality video thank you 🙏🥂

issaallykitumbu
Автор

Hongeren sana watangazaji hakika mko vizur

ramadhanseif
Автор

ni uyu sako kama ronaldo cristian vilee

johnsonkombe
Автор

Nice commentary and video quality keep it up

godfreychilya
Автор

Uyu mtangazaji Bora Wamrudishee Kwaoo Akale Mbegee Simuelewi Kelele Nyingi Mtangaji wa mpira ni Bakari Mpenja Hao Wengine upuuz

sanoureyaliwadoakaroyo
Автор

Katika watu leo nimeona wamepiga game nzuri ni INONGA, tumuache tu kwakweli halali yake kwakweli

christinajames
Автор

This is simba 💪, Ila huyo matangazaji anajitahid kwa kelele

azizimuhibu
Автор

Na Leo sacko ameshinda goal kama hili na assist ametoa shomar kapombe

mahmoudhamisi
Автор

Hapo ndio utaona utofauti wa mtangazaji baraka mpenja na wasimulizi wa mpira

wilsonwaziri
Автор

Binafsi mtangazaji wa Leo ameharibu ladha ya mpira🤔🤔🤔

abelemmanuel