Simba 3-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 18/08/2024

preview_player
Показать описание
Simba SC imeanza na chuma tatu ikiitandika Tabora United 3-0 kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya msimu wa #NBCPremierLeague

Magoli yametoka kwa Che Malone Fondoh 14', Valentino Mashaka 69', Awesu Awesu 90'+2
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwana simba like kama umeridhika na Simba yetu

dickMassawe
Автор

Ntaipemda simba daima hata kama bado tukiwa hatupo sawa ntaipemda simba ❤

VenanceMasimba
Автор

Jaman tusiwe na halak man time ndo inajijenga ko tutafurh 2😂😂😂😂

ShaulinShaurikumi
Автор

Hata Kama bado hiyo ndo Simba badae mutaijuwa tu simba.nyie tuachieni Simba yetu

nyondomwaulambia
Автор

Jambo zuri sana kuona overlap za Zimbwe na Kapombe. Pangekuwa na VAR tungefunga mengi zaidi

richardmichael
Автор

Simba yangu anacheza mpira talented Deborah disconnecter

juliusevance
Автор

Offside si offside na penye offside siyo offside hii Sheria ya offside bongo inawaumiza wachezaji wengi marefa wamekuwa wavivu sana kuitafsiri hii offside

marchymaziku
Автор

Haya hapa Magoli yote ya Simba.
Goli la kwanza 1:23
Goli la pili 5:50
Goli la tatu 7:00

Hizi pia
Azizi Ki Akitabasamu 3:24
Msanii JB pia alikuepo 5:15


Ahsanteee.

jacksonjackson
Автор

GOLI 3 POENTS 3 AL HAMDULILLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

salimmalaka
Автор

Nawachawi walowekewa nyuma mwiko wamekuja bila kuchamba

charlesmahuna
Автор

Simba yetu wachambuzi uchwala acheni ujinga

dechemisttv
Автор

Ila hayo ya offside duh😢ila bado powa tu UBAYA UBWELA ❤❤

uzgsotm
Автор

Akuna kitu kinani kera kama mpira ya kuwaka dakika 8 😢

jamesraphael
Автор

Yes this is simbaa which we want it?god bless Simba sport club

AbdallahKarata
Автор

SGR inakimbia inatoka hadi kwenye reli😅😅

stn
Автор

Al ahli tripoli is waiting for you :D will be exciting games

EL-iurc
Автор

Tunaweza simbaa ila pasi za kuludisha nyuma zipunguzwe

LeilaIssah-dv
Автор

Hilo goli zuri la header mfungali afupishwe jina wanasimba tumwiteni Tinyo kwa msimu huu ubaya ubwela tunarudi kwenye himaya yetu 💞💞....

uenzvcj
Автор

Kiujumla tumeshinda ila Bado safu yetu ya Ushambuliaji haijakaa vzr

kkjmznn
Автор

Zingatieni muda wa highlighs, 4 min inatosha

deogratiaspatrick