Magoli | Simba 3-0 Red Arrows | CAF CC 28/11/2021

preview_player
Показать описание
Bernard Morrison amehusika kwenye magoli yote matatu Simba SC ya Tanzania ikipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC.

Mechi hii imepigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, ambapo Bernard Morrison amefunga magoli mawili na kutoa ‘assist’ moja kwa Medie Kagere huku akikosa mkwaju wa penati dakika ya 30.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Morison leo imekuwaje jmn??? Mbn kama Cr7 Ronaldo??? Bac ahsante sana Simba, ahsante sana Morison na Kagere kwa umakini mkubwa sana!!! Jmn wana Simba Bwana Yesu asifiwe.!!!

micamathew
Автор

Kama wewe nimnyama najua hutapita bila ku like

bakariswaleh
Автор

Hongera kwake bm3 kwa performance nzur alioionesha kwenye mchezo wa leo❤️❤️🙏

ahazimrisho
Автор

Tukijipanga vzr huku shirikisho naiona simba fainali, , Simba nguvu moja

lazarojr
Автор

Trending namba 2 😂😂
Asantee Sanaaa chama langu la Simba sports club 🙏🙏🙏

ferouzmasoud
Автор

MUNGU Asante tumeshinda, tunaomba mechi ijayo tr 05/12/2021 na tr 11/12/2021 zote tushinde

wilsonkimaro
Автор

Bernard Morrison is a dangerous and Excellent player Good job

fidelslick
Автор

Football is an Art 👏👏👏 Bravo to Morison for passing thru 3 players 🔥🔥

arnoldalphonce
Автор

Hii Simba ni timu iliyopangika, Simba ni timu kubwa Sana, mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Simba sports club, ubingwa Mara 5 mfululizo💪💪💪🇵🇪🇵🇪🇵🇪

thabitbakari
Автор

HAKIKA MUNGU NI MWEMA, ASANTESANA MUNGU TUMESHINDA, TUSAIDIE TR 05/12/2021 TUSHINDE TENA NA TR 11/12/2021 TUSHINDE MCHEZO TENA DHIDI YA YANGA, NAITAKIA SIMBA SC MEMA TUPU, GONGA LIKE KUITAKIA SIMBA USHINDI TUU MSIMU HUU WOTE

wilsonkimaro
Автор

Jmn ile penaty tungekuwa na mgoli mnne huwiii ila Hongereni sana Simba yangu vipenzi mmenifurahisha mnoooo

mariapialakanje
Автор

hongereni san. ila nimependa umakini wa Kagere yaani kila mpira ukipigwa golini yumo ndani ya box,

mbatatakiazi
Автор

No 2 trending hii ndio maana halis ya big team 😅😅🔥🔥🔥💕💕🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

happycharles
Автор

Tuliokuja kuangalia baada ya mech ya yanga tujuane🎉

shanmlawa
Автор

Huyu mwamba anaipenda simba @BMW ❤️❤️❤️

emmanuelmtalis
Автор

Mpenja kaka uko vizuri Sana wewe unasitahiri uwe unatangaza mechi zetu tu achana na uto

emmanuelwilliam
Автор

Pongezi kwa mashujaa wetu ote mliopambana pamoja na bechi la ufundi 💪💪💪💪🔥🔥🔥🦁🦁

agnessjulius
Автор

Ukute Morrison alikuwa na stress kipindi ana kesi, huyu sasa ndo Morrison asiye na stress🤣🤣

jacksonjohnson
Автор

Simba sports club big time Africa 👊💪🦁❤️🥰

ferouzmasoud
Автор

Ndgu mgeni rasmi naomb lijengwe sanamu la Benard Morrison pale posta

fettysultana