Hizi ndio sababu kwanini Uchaguzi wa Marekani ni wa ajabu sana! Ufahamu mchakato wa kumpata RAIS

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana kwa maelezo yenye elimu tosha ndani yake.
Ningependa utusaidie kuhusu vita iliyotokea mwaka 1812 kati ya Marekani na Canada. Shukirani sana kwako.

shadracknyandwi
Автор

Kweli yangu niishi Marekani uchaguzi Wa kwao sijaelewa. Hata ikiwauliza Wa Marekani, wengi wanasema kua hawajui amna uchaguzi unavyo endeshwa

barrynzeyimana
Автор

Aina hii ya uchaguzi ina mianya ya rushwa, wawakilishi wakipita wavombea wanaanza kuwatafuta muwashawishi wawapigie kura katkka kuwashawishi hapo kuna kupewa pesa kuahidiaa kulindwa kwenye biazhara zao na mara nyingi hao watu ni watu wazito yaaani wafanyabiashara wakubwa na ni matajiri.
So ili kumpa kula mgombea furani ataangalia maslahi yake yapoje wakikubaliana ndo anampa kula aliye na maslabi nae ambae hatokuwa kikwazo mwwnhe biashara zao na hao ndo hutanguliza kutoa pesa kumcbangia mgombea kufanya kampeni kwa wananchi, then baada ya hapo hao matajiri ndo hulinda maslahi yao ni sio maslahi ya wananchi

Fgldesigns
Автор

1. Mi nataka muandae makala inayo elezewa uhalali wa uwepo wa dini.

2. Uhalali wa vitabu takatifu

3. Asili ya mwafrica

4. Uhalali wa moto na pepo

NB: ningependa mtumie fact zote zibezi pande zote mbili Africa, uropean na arabs

michaelkonga
Автор

Kwa lugha fupi sana, rais wa Marekani huchaguliwa na matajiri wakubwa.Au Matajiri wakubwa wana ushawishi mkubwa ktk kupatikana kwa rais wa Marekani.Hizo kona kona ni danganya toto tu.Yaani ni bora Korea kaskazini walioamua kuwa na ufalme kuliko Marekani.Hizo rongorongo za uchaguzi wa Marekani ni kupoteza muda na rasilimali pesa.

SwedyMohamed-vtzm
Автор

Ao ndo dunia kamatunavosema daa nitanzania mpo?

WaziriMwakyando
Автор

Mpakaa hapo trump atarudiiii tena madarakaniii, kamalla atapata kura nyingi lakini wajumbe wachachee

RaymondPaul-bssu
Автор

wale wagombea wa kujitegemea baada ya uchaguzi wanaenda wapi kuna sehema kwenye serekali wanapata au ndio hawana chao?

JohnCage-wetp
Автор

Hawa waongo hakuna demokrasia bali usalama ndo wanaamua rais awe nani

anisetmarandu
Автор

Ata south Africa ndio ivyo ila south viti vya bunge ndio ushindi wa raisi

mweupebrown
Автор

Umezungumzia kwamba Rais anaweza kupata kura nyingi za raia lakini akapata kura chache za wajumbe, Je hizo kura za hao wajumbe katika majimbo zimegawanywa namna ganii?? 2, Je zimezingatia majimbo ambayo yana watu wengiii? Au majimbo matajiri wengiii?? Au majimbo yenye viwanda na uchumi mkubwa???

RaymondPaul-bssu
Автор

Uchaguzi wa Marekani hata sio wa Demkrasia kama wanavyojinadi, wananchi wanajifurahisha tuu raisi anachaguliwa na maseneta alafu nchi za Afrika zinawafatilia kuwa wana demokrasia wakati si chochote

Fgldesigns
Автор

Electoral college votes. Na KILA jimbo jimbo lina wajumbe wengi na lingine ukiwini nusu ya majimbo wewe ni rais

hashimuliloto
Автор

Sasa ndo demokrasi gani kama watu wengi wamekupigia then huwi raisi? Kuna haja gani mwanchi WA kawaida kwenda kupiga kura? Mi nisingepoteza muda wangu. Na Ile last election Trump alidai kaibiwa Kura wakahesabu tena imekaaje?

MsAggie
Автор

Kamala ataingia madarakani baada ya awamu hii ya Trump, , , , shikeni hii mtanikumbuka

mhenitv