DHAMBI KUU 2 MUNGU HAWEZI KUKUSAMEHE!! KUWA MAKINI SANA

preview_player
Показать описание
#dhambi#mungu#msamaha
Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini
"Warumi 13:11"

Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
+255 758 708 804

Instagram Account

SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ee mungu naomba kwako hekima na busala pia yesu kwako yote yanawezekana amen❤❤

PaulMarko-xj
Автор

Hakika wewe Mungu ni mkuu u stahili utukufu wako smen❤❤❤❤

ErickEsrael
Автор

Mungu alisema dhambi zako ata zinyekundu kama damu zitakuwa nyeupe kama dheluji

gloriaaugustino
Автор

Namshukru Mungu wangu, amenibadisha nimekuwa ni mtu wa kuachilia, Moyo wangu mweupe Asante Mungu wangu

BeatriceChalamila
Автор

Ee mungu niinue nipo moyo wa unyenyekevu

ElizabethAkimu-gk
Автор

Mungu nisaidie niweze kuwa na moyo wakusamehe na kusahau pia Mungu nisaidie kwa jina la yesu kristo amen

NaomiBahat-bzri
Автор

Frome Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 to Tanzania Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu ♥️♥️♥️Ubarikiwe Sana

epmzmusifiwar
Автор

Namshukuru Mungu mimi nina roho ya kusamehe

LatifaSeif-csrd
Автор

Kukufuru Mungu roho mt, ni kutokukubali Uungu wake, kutokukubali kuwa yupo, na kutokukubali kazi zake.

kwangahudispensary
Автор

Niumbiye moyo wamu samaaaa mwenyezi munguu 🙏🙏😥🙏😥🙏😥

RosetteMaarachi
Автор

Amen ee Mungu nisaidie kuishinda dhambi na kuwasamehe wengine wanaonikosea🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

sarahyusuph
Автор

Nimejifunza kitu Asante sana and God bless you

EdwinOlwenyi
Автор

Amen Ubarikiwe sana kwa Neno limenifungua leo

OswardGaudence-gnlo
Автор

Eenh Mungu naomba unipe nguvu ya kusameh🙏🏿

chichiereyh
Автор

MUNGU isamehe family yangu kwa jina la YESU

judithnjunwa
Автор

Mungu ni sameee nilipo kukosea ebaba damu ya mwanawe Yesu krsto amen

KendyEmmanuel-kp
Автор

Mtumishi BWANA YESU ASIFIWEubarikiwe sana na maswali mawili ukiota unakata tiketi inamaana Gani,

zenorinashio
Автор

Mungu naomba unisaidie 😭😭kwan moyo wangu unamwaga damu 💔💔💔

julietkimigho
Автор

Nawasamehe wote walio nikosea na nilio.wakosea mm Mungu anisamehe❤

abigaelmwadena
Автор

Mwenyezi Mungu nisamehe nisahaulishe yaliyotokea nmewasamehe nyote 😢

lucymwari