Kwanini huwa unaota ndoto inajirudia | sababu za kuota jambo mara kwa mara

preview_player
Показать описание
Kuna wakati ndoto huwa inajirudia muda baada ya muda mpaka unakariri inavyoenda na inavyoisha. Hii ndio sababu hasa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Napigana kwa jina la yesu na mimi ni mshindi kwa jina la yesu..A Big Big Amen. Barikiwa siku zote na huishi maisha marefu Amen.

rithersospeterkati
Автор

Amen Asikofu..Napenda sana mawaidha yako

Nyanda
Автор

Amen Amen. Nitapigana vita kwa imani maana najuwa Mungu ameruhusu...nitakwea kwa jina la yesu kristo. Barikiwa mtumishi wa mungu gwajima nazidi kubarikiwa.

rachealmwale
Автор

Hallelujah hallelujah powerful message 💪💪man of God be blessed 🙏🙏🙌🙌

QueenNyarangi
Автор

Mimi niko Somalia nimekufata kwa muda ni saidie kumjuwa yesu😢😢 maana hapa kwetu akuna

FaizaAbdirahmanAli-qneu
Автор

Aminaaaa nami napigana na wale wanaopigana nami

JenniferMakala-po
Автор

Amen.., nimeimarika Sana Baba Askofu.Dr.Gwajima🙏

ibrahimjohnace
Автор

Amen. Mtumishi naota ota ndoto sana sielewi Kwakweli

joycemagana
Автор

Asante Mtumishi, hakika tunapuuzia sana ndoto.sababu tu ya kutokujua tunaona kawaida

florahemmanuel
Автор

Maaneno yako hakika na kwel mungu akujalie maisha malefu

shukurujface
Автор

Anointed sermons, GOD BLESS You Man of GOD

aishamwema
Автор

Wew ni mtume wa mungu Kwenye maisha yangu

kayomboange
Автор

Asante baba wa watoto wanaotaka kuingia mbinguni, somo zuri.

shalomizrael
Автор

Amen I understand you very well and long live

tinaadongo
Автор

Asante baba napenda sana mawaidha yako nlikosana na bwanangu nkatoka kwao na kila nlialapo naota nko kwao tuu hio ndoto c mara ya kwanza kuiota pray me bishop

وفاءالعجلان-ثس
Автор

Nakwea kwa damu ya yesu kristo Halellujah Ameeeen asante Baba ndio nakupenda mafunzo yako unaeleza nafuraia nimepita makuu yesu ameniwesesha kupigana ata ndotoni asante Baba Barikiwa Sana na Bwana wa majeshi shalom.

jossyngumbi
Автор

Glory to God! Nimebarikiwa na ujumbe huu

brotherbaraka
Автор

Ndoto yangu ya jana usiku iko hivi. Iko kwenye massage. Barikiwa baba.

rithersospeterkati
Автор

God is wonderful for the message wajima is preaching to the world

siphiahonsongo
Автор

Ameen niko tayari kupingana vita in Jesus name

hellenmwenda