MELI kubwa Duniani Hii hapa, Ni Mji Unaoelea, Inatembea milele bila kusimama,Utashangaa ubunifu wake

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mmmmhhh siongei nachojua Mungu ni Fundi mkuu na hivi huko hakutakuwa na ibada ni anasa tu ohooo

kanankirannko
Автор

Mh! Hao watakao Jenga iyo meli itakuwa siyo kizazi Cha leo

PetroJohn-migz
Автор

Mmh hizooo ndoto hisia zako nkajua iko tayar

MichaelSylvester-bb
Автор

Iyo mer inafaida gani hata isitenge nezwet mer kilakitu asa naipanda nenda wp mambo yakuzimutu jamani msijifanye mungu nyie mogopeni mungu

MariaHussen
Автор

Titanic ilikua gumzo na hii huwezi nishawishi ATI ya milele tusileteame viini macho

OtomaniWaziri
Автор

Nomasana szani kama usalumautakuepo kwa%100

JustinMtitu
Автор

Ndo maana kasema ni mji, watu wataishi humo cyo upande saa hafu uombe kushuka no hayo ni makazi ya wenye pesa waliochoka kuishi nchi kavu.

celestinermantenga
Автор

Kudadeki kwahiyo haijatengenezwa yaan mmearibu Mb zangu mtazilipa

thadeombani
Автор

Ni miaka mingi sana ikija kukamilika sio Leo wala kesho

Rayaramadhanhassan
Автор

Mm nikahisi iko tayari na inafantabkazi kumbe ni ramani tu, apo umefail

PaschalLuswetula
Автор

wanatakiwa kuwa makin yasijetokea kama yaliyo ikuta meli ya TITANIC mwaka 1912

fredyunji-km
Автор

Sawa Meli tumeiona ila maelezo yako mtangzj mmmh

aminatanzanya
Автор

Unazingua🙄 kuandika MELI KUBWA DUNIANI HII HAPA alafu unatuonesha picha, ata haijatengenezwa 🤠

suleim
Автор

Inatakiwa uwe makini heading iendane na content

YosiaWilson
Автор

Haiwez simama kokote hapa dunian kwaiyo inatengenezewa kwenye maji au

azizaswai
Автор

Ebwana eeeeh apo mungu wacha aitwe mungu na sio yesu mwanadamu

AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bcwj
Автор

60million, , si waturuhusu wakenya tuishi huko sotee tuachr izi shida😅

amanisafari
Автор

Kama haisimami iliwekwa vipi kwenye maji

IbrahimWanjala-ibtp
Автор

Mnaikumbuka titanic lakini jiwe moja tu imebaki historia

IbraWaziri
Автор

Je kilimo nacho kpoo ndani ya hyo meli

JohnKauzen