HIZI NDIO SABABU ZA KWANINI UWEKEZE MKOA WA TABORA “TUMEDHAMIRIA KWELI, WATENDAJI TUWE WABUNIFU'

preview_player
Показать описание
Mkuu wa mkoa wa Tabora Dkt.Philemon Sengati akitoa mwongozo na sababu ya kuwekeza mkoa wa Tabora wakati wa uzinduzi wa kitabu cha mwongozo wa uwekezaji wa mkoa huo amesema mkoa huo kwasasa unamiundombinu wezeshi kwa wawekezaji

Dkt. Sengati ameitaja miundombinu hiyo kuwa ni Maji,Usafiri wa nchi kavu na Anga na mazingira wezeshi mwa wawekezaji kutoka nje na ndani ya nchi na amesema maeneo ya uwekezaji yanapatikana kwa wilaya za mkoa huo
Рекомендации по теме