FUNDI - Marco Joseph(Official Video)+255764333205

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu akuinue zaidi na zaidi viwango via juu zaid amen

adamseleman
Автор

Amen 🙏 mungu ni fundi aliye fundi was fundi wote ulimwenguni yaani fundi spesheli

purity
Автор

Naipenda kwaya hii "ZABRON SINGERS" Nyimbo zenu nzuri

GeorgeMsonge
Автор

Marco umetisha wimbo mzuri video nzuri sana keep it up bro Mungu azidi kukupigania

frankgandwi
Автор

Hata mkiimba hizi comment na mengineyo mpeni views zote mrs marko na familia yake tunawaomba isiwekwe kwenye matumizi yenu Mungu hatapenda hili

rossarutasha
Автор

You people are a blessing, I love your songs....wapi likes za +254🇰🇪

abbiemwaleh
Автор

Amen soo nice song with powerful message God bless you

hellenratemo
Автор

Mtuletee wimbo wa akida, aliouandika marehemu Marco

winniekiprono-eqrc
Автор

mazuri ya huyu fundi kaniundaniunda kanitengeneza nipo hapa kumushukuru

clevartv
Автор

Pumzika kwa Amani kaka hakika vizur havidumu

ElizabethBanda-pi
Автор

Congratulation broo wimbo mzury sana barikiwa zaid

lulukikulu
Автор

Napenda sana huu wimbo, una maana mingi Mungu akubariki

patriciawaithera
Автор

This song has lifted me. All about gratitude

gladyskorir
Автор

Poleni Sana familiar ya Marco.
Mwenyezi Mungu awape nguvu wakati Huu mgumu wa majonzi.
Pumzika Kwa Amani Marco

douglasateka
Автор

Your songs are so sweet, I listen to them over and over

abbiemwaleh
Автор

Fundi wangu umetisha kaz nzur big up bro

harounamani
Автор

This song is touching my life.. is very blessing me ✨🙏

glorykalebu
Автор

Napendaga sauti ya Marc ktk group ya Zabron

lizmsili
Автор

U bless me zabron singers may the lord bless you

melaniedamiansanchez
Автор

Leo nimeshinda nikiskiza huu wimbo cku mzima...what a blessing song keep it up Marco

gladyswanjiku